Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini.

Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha.

Madereva wengi nao kichomiiiii
 
Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha.

Madereva wengi nao kichomiiiii
Kinana amesema wapunguzwe hajapendekeza waondolewe
 
Back
Top Bottom