Askari wa IDF wauawa na kutekwa na Lebanon

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

IMG_20260331_095543.jpg
IMG_20260331_095627.jpg
 
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
Siamin. Hizbullah hii hii waliosema imefifishwa!?
 
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899

MATAMU apo ngumi kwa ngumi ninachoamini itakuwa Vijana wa IDF waliishiwa silaha!!!

kuona ivyo Vijana wa Hezboullah wakaona hapana tunatupa silaha zetu twende mkono💪 kwa mkono 💪
!!!
Daaa inapendeza kupambana Nawauwaji watoto kama awa.. ukiweka kichwani vitoto vidogo vinaowauwa vichanga wamama!!!!

iyoo ngumu ikimkuta lazima ataongea kizigua cha handeni🤠🤠
 
Ground battle idf ni weupe pee

siyo kwamba ni weupe kwenye hiyo unayoiita ground battle bali they care more about life of their people, kifo cha 1 kwa westerners kina thamani kubwa na hiyo ndiyo tofauti kati ya muslims/communists vs the west, communists na mulisms wanaweza ku sacrifice millions of their own people kuwapeleka mbele kama chambo, soviet union alitumia sana hii mbinu vita kuu 2 aliwasacrifice watu wake mamilioni waliuliwa same with muslims watu wa kawaida hawana thamani ndiyo maana wanawatanguliza mbele wauliwe hata mamilioni lkn regime ibakie vs western countries kifo 1 tu kinaweza kubadilisha uelekeo wa vita.

hivyo siyo kama ni weupe bali maisha ya watu wao yana thamani zaidi na ndiyo maana wanawekeza zaidi kwenye teknolojia ili ku-avoid boots on the ground, sasa wako kwenye ku design robots kuzituma badala ya binadamu ...
 
msemaji wa IDF kutoka kinyanya Kibiti Echolima1 !!

njoo ukiwa kichwani ujabeba zigo lengine utwambie🤠🤠

Vijana wako wa IDF wapomikononi mwa warumendago wa Lebanon tujuze kweli au ni AI 😆😆😆
 
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
Safari hii watachinjwa san kenge hao
 
Nijuavyo mimi ni kweli askari 4 wameuwawa wakiwa vitani!!

Na hakuna askari aliyetekwa na magaidi hao nijuavyo mimi kama wangekuwa wameteka askari yeyote lazima wangemuonyesha kwenye medio zao za Propaganda. Lakini kwa sababu ya uongo wamebaki kubwabwaja tu bila kudhibitisha uongo wao.

Mara helicopter 10 zinahitajika kuokoa ni uongo uleule waliokuwa wanautumia wakati wa kipindi cha vita vya Gaza.

Kwa mfumo wa kimapigano wanaoutumia IDF si rahisi magaidi kuteka askari wa Israel na magaidi hao wao waendelee tu kuota ndoto za mwendawazimu!!
 
siyo kwamba ni weupe kwenye hiyo unayoiita ground battle bali they care more about their people, kifo 1 kwa westerners kina thamani sana na hiyo ndiyo tofauti kati ya muslims/communists vs the west, communists na mulism wanaweza ku sacrifice millions of their people kuwapeleka mbiele kama chambo, soviet union alitumia sana hii mbinu vita kuu 2 aliwasacrifice watu wake mamilioni waliuliwa same with muslims watu wa kawaida hawana thamani ndiyo maana wanawatanguliza mbele wauliwe hata mamilioni lkn regime ibakia vs western countries kifo 1 tu kinaweza kubadilisha uelekeo wa vita.

hivyo siyo kama ni weupe bali maisha ya watu wao yana thamani zaidi na ndiyo maana wanawekeza zaidi kwenye teknolojia ili ku-avoid boots on the ground, sasa wako kwenye ku design robots kuzituma badala ya binadamu ...
Wakikujibu utanijulisha niko pale kwa Mwarabu nakunywa Kahawa na kashata!!!
 
Hizbullah walizuga wamelala wakati wa sizifaya, Israel akawa anapiga tu 'silaha za hizbullah',wakatuanisha hizbullah kwisha,mzee kuna shughuli huko hizbullah acha tu,merkava zinagongwa usiku na mchana
Weka basi hata picha tuone kama kweli zinagongwa!!

IDF wako ndani ya Lebanon wakiwasaka magaidi wa Hezboullah popote walipo!!
 
Back
Top Bottom