Askari wa IDF wauawa na kutekwa na Lebanon

Askari wa IDF wauawa na kutekwa na Lebanon

Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
Nimeipenda hiyo ya fist fights. Wakati mwingine ni vizuri kuoneshana ubabe kwa mbinu za asili.
 
Iran imewekeza mabilion ya dollar kwa hizbola.
Ukiingia kwenye mahandaki yao unaanza kukutana na makontena ya dolar za kimarekani.
Sasa watu kama hao unawafilisije?

Uchumi wa hizbola ni mkubwa kuliko wa serikali halali ya lebanon
Serikali halali ya Lebanon imewekwa na Hezbollah, wakristo wa Lebanon wapo upande wa Hezbollah na Wakristo wengi wa Lebanon Wana pesa chafu so Wana invest kwa hao Hezbollah, Telegraph Uingereza walichapisha namna vijiji vya Wakristo wanavyowakubali Hezbollah

Israel wakishirikiana Na Isis/Al Qaeda wanaua Wakristo wengi Ukanda huo.
 
Nimejibu mtu mwingine wewe unaingilia nini? Nimeshakupuuza maana huna unalojua humu na hata mada zako angalia zinavyododa mpaka udandie za watu!!

You're an embarrassment humu ndani, hauna reputation yoyote zaidi ya kuwa maarufu kwa fake news.
Tuonyeshe sasa wapi walipo sema Hezbollah wameteka Askari wa Israel?

Tuwekeeni hizo picha na sisi tuzione acheni upotoshaji wenu.
 
Acha uongo mbona US imejitoa kwenye mikataba ya mazingira ambayo inakataza kuemit gesi chafu za viwandani kwa watu? Usisahau majimbo kibao ya USA wameruhusu raia kumiliki bunduki why wasikataze ili kupunguza homicide? USA ina highest prison population dunia nzima na pia ina highest rate ya homicides hasa kwa kupigana risasi mitaani kuliko nchi yoyote ya West!!

Kwanini wasi deal na hayo kama kweli wanajali uhai wa mtu!!

hapo sasa you are camparing apples na oranges ...
 
Nijuavyo mimi ni kweli askari 4 wameuwawa wakiwa vitani!!

Na hakuna askari aliyetekwa na magaidi hao nijuavyo mimi kama wangekuwa wameteka askari yeyote lazima wangemuonyesha kwenye medio zao za Propaganda. Lakini kwa sababu ya uongo wamebaki kubwabwaja tu bila kudhibitisha uongo wao.

Mara helicopter 10 zinahitajika kuokoa ni uongo uleule waliokuwa wanautumia wakati wa kipindi cha vita vya Gaza.

Kwa mfumo wa kimapigano wanaoutumia IDF si rahisi magaidi kuteka askari wa Israel na magaidi hao wao waendelee tu kuota ndoto za mwendawazimu!!
Naona yahudi la ushomile ukiteseka sana,mpaka watuambie aliewaambia wao taifa teule nani.Ujinga wao mpaka wamepelekea kina KIBOKO YA WACHAWI waje kuvuna hela
 
Tuonyeshe sasa wapi walipo sema Hezbollah wameteka Askari wa Israel?

Tuwekeeni hizo picha na sisi tuzione acheni upotoshaji wenu.
Mwaka huu miyahudi ya mchongo ya Tandale mtapigika sana,mpaka mtuambie kwann kwenu upinde ni halal wakati wanaume wa Iran hatutaki mambo ya upinde
 
Mwaka huu miyahudi ya mchongo ya Tandale mtapigika sana,mpaka mtuambie kwann kwenu upinde ni halal wakati wanaume wa Iran hatutaki mambo ya upinde
Tayari Mmeshaanza taarabu kazi mnayo Mbwa nyie!!
 
Tuonyeshe sasa wapi walipo sema Hezbollah wameteka Askari wa Israel?

Tuwekeeni hizo picha na sisi tuzione acheni upotoshaji wenu.
Wapi nimesema kuna askari wa IDF katekwa? Muulize aliyeweka thread maana mie sijaleta hiyo hoja wala hakuna popote nimeizungumzia.
 
hapo sasa you are camparing apples na oranges ...
Bro more people die from gun violence in USA than the number of US soldiers dying in all wars involving USA since world-war 2 COMBINED.

Ni ujinga kulinda wanajeshi 10 wasife uwanja wa vita ilihali watu 50,000 wanakufa annually from Gun violence in USA.

Sasa thamani ya maisha ndio unaipimaje? Hiyo rate ya mauaji hata Gaza tu hakuna!!!
 
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
IMG_20260331_190432.jpg
IMG_20260331_190531.jpg
 
Mbona Iran imetumia missiles na drones pekee umeona imepeleka askari wa miguuni Israel au Lebanon? Au nayo ni Western country? Tuache propaganda hao US au Israel wala hawajawaho value maisha ya watu wap otherwise wasingekua wana engage kwenye vita zisizo na kichwa wala miguu.

US tu ni moja ya nchi zenye highest cost za matibabu. Yaani hawana pesa ya free medicare ila wana matrillion ya kufadhili vita na magaidi.

Bro more people die from gun violence in USA than the number of US soldiers dying in all wars involving USA since world-war 2 COMBINED.

Ni ujinga kulinda wanajeshi 10 wasife uwanja wa vita ilihali watu 50,000 wanakufa annually from Gun violence in USA.

Sasa thamani ya maisha ndio unaipimaje? Hiyo rate ya mauaji hata Gaza tu hakuna!!!

kwenye hizo statistics zako ondoa black on black crime/homicide kwenye equation halafu uone percentage itakayobakia, btw black people wa USA wanamilikiwa na communists pia kama vile tu waafrika au caribbean, wengi hata ni muslims walisilimu ...
 
Back
Top Bottom