Askari wa IDF wauawa na kutekwa na Lebanon

Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
Wewe gallow bird na huyu Muha zitto junior ni wapotoshaji wakubwa sana tuleteeni picha za Askari waliotekwa!!!
 
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
Hii inaitwa mkono kwa mkono, Hizbollah sasa wameamua
 
siyo kwamba ni weupe kwenye hiyo unayoiita ground battle bali they care more about life of their people, kifo cha 1 kwa westerners kina thamani kubwa
Acha uongo mbona US imejitoa kwenye mikataba ya mazingira ambayo inakataza kuemit gesi chafu za viwandani kwa watu? Usisahau majimbo kibao ya USA wameruhusu raia kumiliki bunduki why wasikataze ili kupunguza homicide? USA ina highest prison population dunia nzima na pia ina highest rate ya homicides hasa kwa kupigana risasi mitaani kuliko nchi yoyote ya West!!

Kwanini wasi deal na hayo kama kweli wanajali uhai wa mtu!!
 
hivyo siyo kama ni weupe bali maisha ya watu wao yana thamani zaidi na ndiyo maana wanawekeza zaidi kwenye teknolojia ili ku-avoid boots on the ground, sasa wako kwenye ku design robots kuzituma badala ya binadamu ...
Mbona Iran imetumia missiles na drones pekee umeona imepeleka askari wa miguuni Israel au Lebanon? Au nayo ni Western country? Tuache propaganda hao US au Israel wala hawajawaho value maisha ya watu wap otherwise wasingekua wana engage kwenye vita zisizo na kichwa wala miguu.

US tu ni moja ya nchi zenye highest cost za matibabu. Yaani hawana pesa ya free medicare ila wana matrillion ya kufadhili vita na magaidi.
 
siyo kwamba ni weupe kwenye hiyo unayoiita ground battle bali they care more about life of their people, kifo cha 1 kwa westerners kina thamani kubwa na hiyo ndiyo tofauti kati ya muslims/communists vs the west, communists na mulisms wanaweza ku sacrifice millions of their own people kuwapeleka mbele kama chambo, soviet union alitumia sana hii mbinu vita kuu 2 aliwasacrifice watu wake mamilioni waliuliwa same with muslims watu wa kawaida hawana thamani ndiyo maana wanawatanguliza mbele wauliwe hata mamilioni lkn regime ibakie vs western countries kifo 1 tu kinaweza kubadilisha uelekeo wa vita.

hivyo siyo kama ni weupe bali maisha ya watu wao yana thamani zaidi na ndiyo maana wanawekeza zaidi kwenye teknolojia ili ku-avoid boots on the ground, sasa wako kwenye ku design robots kuzituma badala ya binadamu ...
Porojo hizi.... Wako wapi wale watoto wa kwenye machupa ?
Wale marubani wa kike uliokuwa mnawapamba mwaka jana hawakuwa watu ? Na kama wangewajali wasingewatuma.

Acheni kamba hizi
 
Acha uongo mbona US imejitoa kwenye mikataba ya mazingira ambayo inakataza kuemit gesi chafu za viwandani kwa watu? Usisahau majimbo kibao ya USA wameruhusu raia kumiliki bunduki why wasikataze ili kupunguza homicide? USA ina highest prison population dunia nzima na pia ina highest rate ya homicides hasa kwa kupigana risasi mitaani kuliko nchi yoyote ya West!!

Kwanini wasi deal na hayo kama kweli wanajali uhai wa mtu!!
Eti hapo sasa unataka kuhamisha mada kijanja!!
Nilishakuambia wewe ni kati ya wa watu wa hovyo sana hapa JF sema tu unapenda kujipendekeza kwenye uongozi unaogopa kupigwa Ban.

Hapa kuna mada hii wewe sasa unajifanya mjuaji kwa kubadirisha gia angani!! tuanze kuongelea Homicide za US!!!

Hivi una akili za kukutosha? Hebu kwenye mada ambayo iko mezani acha kutuchezea akili wewe!!!
 
Porojo hizi.... Wako wapi wale watoto wa kwenye machupa ?
Wale marubani wa kike uliokuwa mnawapamba mwaka jana hawakuwa watu ? Na kama wangewajali wasingewatuma.

Acheni kamba hizi
Marubani walioenda kushambulia Iran feb 28,2026 walikuwa wanawake na ndiyo waliomuua Gaidi Ayatollah Ali Khamenei viongozi wengine 40 aliokuwa nao!!!
 
Hizbullah walizuga wamelala wakati wa sizifaya, Israel akawa anapiga tu 'silaha za hizbullah',wakatuanisha hizbullah kwisha,mzee kuna shughuli huko hizbullah acha tu,merkava zinagongwa usiku na mchana
Mimi nilikuwa najua Hezbullah haikumalizwa kama walivyo dai wajinga kina Echolima1 na kwa jina lingine Mlaleo

Niliwambia Hezbullah walilazimishwa wasimamishe vita bada ya serekali ya Lebanon kudai wame sign mkataba wa amani na Israel.

Hiyo serekali ya Lebanon ni mapuppet wa USA ndio walio ibana Hezbullah walikuwa wanawakataza wasirudishe kipigo.
 
Mimi nilikuwa najua Hezbullah haikumalizwa kama walivyo dai wajinga kina Echolima1 na kwa jina lingine@Mlaleo

Niliwambia Hezbullah walilazimishwa wasimamishe vita bada ya serekali ya Lebanon kudai wame sign mkataba wa amani na Israel.

Hiyo serekali ya Lebanon ni mapuppet wa USA ndio walio ibana Hezbullah walikuwa wanawakataza wasirudishe kipigo.
Haya sasa tuone she I video za Askari mliowateka mbwa nyie!!!! Uongo uongo ishakuwa kwenu jadi!!
 
Eti hapo sasa unataka kuhamisha mada kijanja!!
Nilishakuambia wewe ni kati ya wa watu wa hovyo sana hapa JF sema tu unapenda kujipendekeza kwenye uongozi unaogopa kupigwa Ban.

Hapa kuna mada hii wewe sasa unajifanya mjuaji kwa kubadirisha gia angani!! tuanze kuongelea Homicide za US!!!

Hivi una akili za kukutosha? Hebu kwenye mada ambayo iko mezani acha kutuchezea akili wewe!!!
Nimejibu mtu mwingine wewe unaingilia nini? Nimeshakupuuza maana huna unalojua humu na hata mada zako angalia zinavyododa mpaka udandie za watu!!

You're an embarrassment humu ndani, hauna reputation yoyote zaidi ya kuwa maarufu kwa fake news.
 
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.

View attachment 3564898View attachment 3564899
Safi kabisa mapumbavu hayo yaliyolaaniwa, yani ni motoni hayo makafiri.

Watetezi wa mashoga mpo??? Mmeona lakini ndugu zenu wanauawa na wanaume!! mnawasaidiaje?
 
Back
Top Bottom