gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Siamin. Hizbullah hii hii waliosema imefifishwa!?Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.
View attachment 3564898View attachment 3564899
Hizbullah walizuga wamelala wakati wa sizifaya, Israel akawa anapiga tu 'silaha za hizbullah',wakatuanisha hizbullah kwisha,mzee kuna shughuli huko hizbullah acha tu,merkava zinagongwa usiku na mchanaTutaona vingi tu mwaka huu
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.
View attachment 3564898View attachment 3564899
Ground battle idf ni weupe pee
Natamani haya mambo tumgekuwa tuyapata live bila chenga.Hizbullah walizuga wamelala wakati wa sizifaya, Israel akawa anapiga tu 'silaha za hizbullah',wakatuanisha hizbullah kwisha,mzee kuna shughuli huko hizbullah acha tu,merkava zinagongwa usiku na mchana
Safari hii watachinjwa san kenge haoIsrael imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.
View attachment 3564898View attachment 3564899
Nijuavyo mimi ni kweli askari 4 wameuwawa wakiwa vitani!!Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano na kamandi,wakidaiwa kutekwa na hizbullah.
IDF walijikuta ana kwa ana na hizbullah na inadaiwa mapambano ya ngumi kwa ngumi yalihusika.
View attachment 3564898View attachment 3564899
Kwa maneno mtawachinja sana tu. Lakini kiukweli magaidi kazi wanayo watapukutika kama nzige!!Safari hii watachinjwa san kenge hao
Ukishashipa maharage ya jana lazima utabwabwaja hivyo maana huna namna nyingineGround battle idf ni weupe pee
Wakikujibu utanijulisha niko pale kwa Mwarabu nakunywa Kahawa na kashata!!!siyo kwamba ni weupe kwenye hiyo unayoiita ground battle bali they care more about their people, kifo 1 kwa westerners kina thamani sana na hiyo ndiyo tofauti kati ya muslims/communists vs the west, communists na mulism wanaweza ku sacrifice millions of their people kuwapeleka mbiele kama chambo, soviet union alitumia sana hii mbinu vita kuu 2 aliwasacrifice watu wake mamilioni waliuliwa same with muslims watu wa kawaida hawana thamani ndiyo maana wanawatanguliza mbele wauliwe hata mamilioni lkn regime ibakia vs western countries kifo 1 tu kinaweza kubadilisha uelekeo wa vita.
hivyo siyo kama ni weupe bali maisha ya watu wao yana thamani zaidi na ndiyo maana wanawekeza zaidi kwenye teknolojia ili ku-avoid boots on the ground, sasa wako kwenye ku design robots kuzituma badala ya binadamu ...
Weka basi hata picha tuone kama kweli zinagongwa!!Hizbullah walizuga wamelala wakati wa sizifaya, Israel akawa anapiga tu 'silaha za hizbullah',wakatuanisha hizbullah kwisha,mzee kuna shughuli huko hizbullah acha tu,merkava zinagongwa usiku na mchana
Toka lini uongo ukauona live bila chenga?Natamani haya mambo tumgekuwa tuyapata live bila chenga.