Askari wa IDF wauawa na kutekwa na Lebanon

Nimeipenda hiyo ya fist fights. Wakati mwingine ni vizuri kuoneshana ubabe kwa mbinu za asili.
 
Iran imewekeza mabilion ya dollar kwa hizbola.
Ukiingia kwenye mahandaki yao unaanza kukutana na makontena ya dolar za kimarekani.
Sasa watu kama hao unawafilisije?

Uchumi wa hizbola ni mkubwa kuliko wa serikali halali ya lebanon
Serikali halali ya Lebanon imewekwa na Hezbollah, wakristo wa Lebanon wapo upande wa Hezbollah na Wakristo wengi wa Lebanon Wana pesa chafu so Wana invest kwa hao Hezbollah, Telegraph Uingereza walichapisha namna vijiji vya Wakristo wanavyowakubali Hezbollah

Israel wakishirikiana Na Isis/Al Qaeda wanaua Wakristo wengi Ukanda huo.
 
Nimejibu mtu mwingine wewe unaingilia nini? Nimeshakupuuza maana huna unalojua humu na hata mada zako angalia zinavyododa mpaka udandie za watu!!

You're an embarrassment humu ndani, hauna reputation yoyote zaidi ya kuwa maarufu kwa fake news.
Tuonyeshe sasa wapi walipo sema Hezbollah wameteka Askari wa Israel?

Tuwekeeni hizo picha na sisi tuzione acheni upotoshaji wenu.
 

hapo sasa you are camparing apples na oranges ...
 
Naona yahudi la ushomile ukiteseka sana,mpaka watuambie aliewaambia wao taifa teule nani.Ujinga wao mpaka wamepelekea kina KIBOKO YA WACHAWI waje kuvuna hela
 
Tuonyeshe sasa wapi walipo sema Hezbollah wameteka Askari wa Israel?

Tuwekeeni hizo picha na sisi tuzione acheni upotoshaji wenu.
Mwaka huu miyahudi ya mchongo ya Tandale mtapigika sana,mpaka mtuambie kwann kwenu upinde ni halal wakati wanaume wa Iran hatutaki mambo ya upinde
 
Mwaka huu miyahudi ya mchongo ya Tandale mtapigika sana,mpaka mtuambie kwann kwenu upinde ni halal wakati wanaume wa Iran hatutaki mambo ya upinde
Tayari Mmeshaanza taarabu kazi mnayo Mbwa nyie!!
 
Tuonyeshe sasa wapi walipo sema Hezbollah wameteka Askari wa Israel?

Tuwekeeni hizo picha na sisi tuzione acheni upotoshaji wenu.
Wapi nimesema kuna askari wa IDF katekwa? Muulize aliyeweka thread maana mie sijaleta hiyo hoja wala hakuna popote nimeizungumzia.
 
hapo sasa you are camparing apples na oranges ...
Bro more people die from gun violence in USA than the number of US soldiers dying in all wars involving USA since world-war 2 COMBINED.

Ni ujinga kulinda wanajeshi 10 wasife uwanja wa vita ilihali watu 50,000 wanakufa annually from Gun violence in USA.

Sasa thamani ya maisha ndio unaipimaje? Hiyo rate ya mauaji hata Gaza tu hakuna!!!
 
 


kwenye hizo statistics zako ondoa black on black crime/homicide kwenye equation halafu uone percentage itakayobakia, btw black people wa USA wanamilikiwa na communists pia kama vile tu waafrika au caribbean, wengi hata ni muslims walisilimu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…