C christeve88 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,841 Reaction score 4,531 Sep 5, 2024 #161 Determinantor said: Unaumwa wewe Sio bure Click to expand... Matusi ndio kitu mlichobaki nacho. Jibu hoja usikimbilie kutukana inaonesha ni kiasi gani ubongo huwezi kufikiri.
Determinantor said: Unaumwa wewe Sio bure Click to expand... Matusi ndio kitu mlichobaki nacho. Jibu hoja usikimbilie kutukana inaonesha ni kiasi gani ubongo huwezi kufikiri.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Sep 5, 2024 Thread starter #162 christeve88 said: Matusi ndio kitu mlichobaki nacho. Jibu hoja usikimbilie kutukana inaonesha ni kiasi gani ubongo huwezi kufikiri. Click to expand... Wacha weeeeee
christeve88 said: Matusi ndio kitu mlichobaki nacho. Jibu hoja usikimbilie kutukana inaonesha ni kiasi gani ubongo huwezi kufikiri. Click to expand... Wacha weeeeee
Cannibal OX JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,164 Reaction score 3,553 Sep 5, 2024 #163 Hii ni mipango madhubuti ya Wahuni. Wahuni wanataka nchi yao na wanawatumia watu tofauti tofauti kuonesha na kumdhihaki Rais aliyepo madarakani. Ni vizuri kuzaliwa matajiri wapya na kuwakataa WAHUNI kama Balozi Polepole alivyokuwa akipambana nao.
Hii ni mipango madhubuti ya Wahuni. Wahuni wanataka nchi yao na wanawatumia watu tofauti tofauti kuonesha na kumdhihaki Rais aliyepo madarakani. Ni vizuri kuzaliwa matajiri wapya na kuwakataa WAHUNI kama Balozi Polepole alivyokuwa akipambana nao.