Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma:
~
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama Huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration? Je tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema " Mama ni Raisi WA nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na Sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU Yoyote Yule anayejielewa hawezi kushabikia hili

View: https://vm.tiktok.com/ZMrKrSvUT/

Hii mbona ya siku nyingi na mhusika alisha rest in pieces
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama Huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration? Je tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema " Mama ni Raisi WA nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na Sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU Yoyote Yule anayejielewa hawezi kushabikia hili

View: https://vm.tiktok.com/ZMrKrSvUT/

Alishasaafu huyu Kamanda,ni clip ya zamani
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine
 
Raisi asiwe amiri jeshi mkuu? Humu Tanganyika? Bora kujadili mambo yanayowezekana.
 
ingekuwa vizuri ungeweka kipande cha mwanzo mwa mazunguzo yake ndiyo tunaweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuhukumu kauli za afande.
 
Namna pekee ya polisi kuacha kuisaidia serekali iliyopo madarakani ni kwanza Rais asiwe Amir jesh mkuu pili wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.
Vinginevyo hamna njia nyingine
Kuna uhusiano gani rais akiwa amiri jeshi na hayo uliyoyasema?
 
Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Kwani Mkuu... Uongo hapo ni upi?
Tatizo letu hatutaki kuamini kuwa Ukweli siku zote unabaki kuwa Ukweli!

NB: Kwa ukweli aliousema, huyo Afande hamalizi September.
 
Back
Top Bottom