Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Habari za siku nyingi JF
Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu
Kwa sasa hali imebadilika sana, ni vigumu sana kujua fulani ni askari au la kwa sababu wamekuja na mbinu mpya
Askari hasa hapa jijini Dar wamekuwa wanaishi maisha ya kujificha sana, kwa sasa ni nadra sana kumuona askari wa jeshi la polisi mtaani akiwa anatoka au kuelea kituo cha polisi
Wengi wao wanabeba begi na nguo za raia then wanaenda kubadilishia huko polisi, mara nyingi askari anayevaa uniform hutegemea kupata unafuu wa nauli katika daladala lakini hawapendi na wameelekezwa wasijioneshe sana mtaani
Je, nini kinapelekea jeshi letu hili kufanya kazi kwa kujificha?
Ni aibu na fedheha kwa mtu kuonekana na vazi la PT?
Uovu unaofanywa na jeshi hili kwa wananchi ni sababu ya wao kujificha?