Pompeo Trump
Member
- Jul 14, 2019
- 60
- 54
Hoja yako ni Makusudi tu tena Makusudi alafu Kwa Makusudi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa we nawe! Hehehee...askari si sawa kuwa na nguo za kijeshi
Hakuna upelelezi wowote wanafanya hawa! Upelelezi ni taaluma, sio kazi inayofanywa na kila zumbukuku tu kwa kuwa kavalishwa sare na wanasiasa.Wametumia njia hii kufanya upelelezi kwa urahisi maana watu wapokaji sanaaaa sasa ww hukui kama upo na liafande linakuchora tu
Na kuelekea uchaguzi tegemea kuwaona wengi in plain clothes...polisi anayeishi mbagala anapangiwa kazi kawe..Wametumia njia hii kufanya upelelezi kwa urahisi maana watu wapokaji sanaaaa sasa ww hukui kama upo na liafande linakuchora tu
Point utetezi ya kijinga sana hii. Sasa kama umeziona changing room huko vituoni unadhani changing room ziliwekwa za mapambo?Nenda vituo vya polisi hapa jijini utakuta kuna changing room kabisa, anzia central, Osterbay nk
Watakua wanaona aibu kwa Mambo wanayo yafanya[emoji1787][emoji1787]Habari za siku nyingi JF
Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu
Kwa sasa hali imebadilika sana, ni vigumu sana kujua fulani ni askari au la kwa sababu wamekuja na mbinu mpya
Askari hasa hapa jijini Dar wamekuwa wanaishi maisha ya kujificha sana, kwa sasa ni nadra sana kumuona askari wa jeshi la polisi mtaani akiwa anatoka au kuelea kituo cha polisi
Wengi wao wanabeba begi na nguo za raia then wanaenda kubadilishia huko polisi, mara nyingi askari anayevaa uniform hutegemea kupata unafuu wa nauli katika daladala lakini hawapendi na wameelekezwa wasijioneshe sana mtaani
Je, nini kinapelekea jeshi letu hili kufanya kazi kwa kujificha?
Ni aibu na fedheha kwa mtu kuonekana na vazi la PT?
Uovu unaofanywa na jeshi hili kwa wananchi ni sababu ya wao kujificha?
Wakumbushe raia kabisa kuwa hata ukienda kituo cha polisi, askari wote wamevaa vinyago na hijab kuficha sura. Na pale mapokezi pale wameweka robot ili waendelee kujificha, wanaoishi nyumba za serikali wamejiandikisha kama wapangaji baada ya askari wote kuhama.Habari za siku nyingi JF
Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu
Kwa sasa hali imebadilika sana, ni vigumu sana kujua fulani ni askari au la kwa sababu wamekuja na mbinu mpya
Askari hasa hapa jijini Dar wamekuwa wanaishi maisha ya kujificha sana, kwa sasa ni nadra sana kumuona askari wa jeshi la polisi mtaani akiwa anatoka au kuelea kituo cha polisi
Wengi wao wanabeba begi na nguo za raia then wanaenda kubadilishia huko polisi, mara nyingi askari anayevaa uniform hutegemea kupata unafuu wa nauli katika daladala lakini hawapendi na wameelekezwa wasijioneshe sana mtaani
Je, nini kinapelekea jeshi letu hili kufanya kazi kwa kujificha?
Ni aibu na fedheha kwa mtu kuonekana na vazi la PT?
Uovu unaofanywa na jeshi hili kwa wananchi ni sababu ya wao kujificha?
Kama lengo ni hili, sawa. Tofauti na mtoa mada kusema wanaona aibu.Wametumia njia hii kufanya upelelezi kwa urahisi maana watu wapokaji sanaaaa sasa ww hukui kama upo na liafande linakuchora tu
Upelelezi ni nini mkuu!!!!labda unaandika usichokijua au unapotosha makusudi.Hakuna upelelezi wowote wanafanya hawa! Upelelezi ni taaluma, sio kazi inayofanywa na kila zumbukuku tu kwa kuwa kavalishwa sare na wanasiasa.
Wengi wa hawa askari hawana taaluma yoyote ya darasani. Hawa ni nyenzo ya mapambano na ulinzi tu.
Anakwenda lindo, anakamata wahalifu na kutii maagizo ya wanasiasa uchwara.
Ni kweli wanafanya kazi nzuri (wakati mwingi).
Wengi hawavai sare mitaani kwa sababu wameelekezwa hivyo ama kwa sababu hawajiamini tu.
Lakini hata ingekuwa mimi, hilo gwanda unapita nalo mtaani ili iweje?
Wanaovaa ni polisi CDM,subiri wakati wa kugongwa virungu vya ugoko ndio utajua,hawana maana hao wahuniAmbao awavai uniform wengi ni policcm
Habari za siku nyingi JF
Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu
Kwa sasa hali imebadilika sana, ni vigumu sana kujua fulani ni askari au la kwa sababu wamekuja na mbinu mpya
Askari hasa hapa jijini Dar wamekuwa wanaishi maisha ya kujificha sana, kwa sasa ni nadra sana kumuona askari wa jeshi la polisi mtaani akiwa anatoka au kuelea kituo cha polisi
Wengi wao wanabeba begi na nguo za raia then wanaenda kubadilishia huko polisi, mara nyingi askari anayevaa uniform hutegemea kupata unafuu wa nauli katika daladala lakini hawapendi na wameelekezwa wasijioneshe sana mtaani
Je, nini kinapelekea jeshi letu hili kufanya kazi kwa kujificha?
Ni aibu na fedheha kwa mtu kuonekana na vazi la PT?
Uovu unaofanywa na jeshi hili kwa wananchi ni sababu ya wao kujificha?
kwahiyo wanakwepa majukumu yaowakivaa gwanda wapande salasala mnasema wanakwepa kulipa nauli, wakivaa kiraia Nongwa!
Sasa Unataka watembee uchi Pimbi weeye!!!
Hujui gwanda Ni ishara ya utayali mda wote?
mfano akiwa njiani ikitokea sokombingo itambidi aache safar zake akaamulie!
NANI ANAYATAKA MAMBO HAYO?