Askari wa Jeshi la Polisi sasa wanajificha huwezi waona na sare zao mtaani

Askari wa Jeshi la Polisi sasa wanajificha huwezi waona na sare zao mtaani

Acha umbea bro, ndio maana huwa mna kandamizwa shigo mpaka mnashindwa kupumua
Habari za siku nyingi JF

Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu

Kwa sasa hali imebadilika sana, ni vigumu sana kujua fulani ni askari au la kwa sababu wamekuja na mbinu mpya

Askari hasa hapa jijini Dar wamekuwa wanaishi maisha ya kujificha sana, kwa sasa ni nadra sana kumuona askari wa jeshi la polisi mtaani akiwa anatoka au kuelea kituo cha polisi

Wengi wao wanabeba begi na nguo za raia then wanaenda kubadilishia huko polisi, mara nyingi askari anayevaa uniform hutegemea kupata unafuu wa nauli katika daladala lakini hawapendi na wameelekezwa wasijioneshe sana mtaani

Je, nini kinapelekea jeshi letu hili kufanya kazi kwa kujificha?

Ni aibu na fedheha kwa mtu kuonekana na vazi la PT?

Uovu unaofanywa na jeshi hili kwa wananchi ni sababu ya wao kujificha?
 
Upelelezi ni nini mkuu!!!!labda unaandika usichokijua au unapotosha makusudi.

Unadhani hata taarifa za upelelezi wa jiwe kupendwa na wanchi au lissu kukubalika na wanachi au ni porojo zinatengewa fungu rasmi!!!!

Ukiambia askari hana off uelewe.

Hizi hisia kwamba hawajiamini utawala huu,unajidanganya mzee.kidogo labda utawala uliopita.
Hakuna lolote!.

Upelelezi gani wanafanya Tanganyika hii bhana weweee!!

Ujinga mtupu!
 
Hakuna upelelezi wowote wanafanya hawa! Upelelezi ni taaluma, sio kazi inayofanywa na kila zumbukuku tu kwa kuwa kavalishwa sare na wanasiasa.

Wengi wa hawa askari hawana taaluma yoyote ya darasani. Hawa ni nyenzo ya mapambano na ulinzi tu.

Anakwenda lindo, anakamata wahalifu na kutii maagizo ya wanasiasa uchwara.

Ni kweli wanafanya kazi nzuri (wakati mwingi).

Wengi hawavai sare mitaani kwa sababu wameelekezwa hivyo ama kwa sababu hawajiamini tu.

Lakini hata ingekuwa mimi, hilo gwanda unapita nalo mtaani ili iweje?
private wa JW unawaponda PT, mna matatizo gani nyie askari?
 
Mi nadhani kanuni zao za kazi zinawazuia kuzurura na uniform kama hauko kazini. Zamani ilikuwa rahisi kuwaona maana walikuwa na utawala wa manyani kila mtu na lake.
 
Habari za siku nyingi JF

Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania
Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu

Kwa sasa hali imebadilika sana, ni vigumu sana kujua fulani ni askari au la kwa sababu wamekuja na mbinu mpya

Askari hasa hapa jijini Dar wamekuwa wanaishi maisha ya kujificha sana, kwa sasa ni nadra sana kumuona askari wa jeshi la polisi mtaani akiwa anatoka au kuelea kituo cha polisi

Wengi wao wanabeba begi na nguo za raia then wanaenda kubadilishia huko polisi, mara nyingi askari anayevaa uniform hutegemea kupata unafuu wa nauli katika daladala lakini hawapendi na wameelekezwa wasijioneshe sana mtaani

Je, nini kinapelekea jeshi letu hili kufanya kazi kwa kujificha?

Ni aibu na fedheha kwa mtu kuonekana na vazi la PT?

Uovu unaofanywa na jeshi hili kwa wananchi ni sababu ya wao kujificha?
Mkuu huo ndio Mfumo wa.vyombo vya Usalama Dunia nzima,..

Sio Askari Polisi tu bali hata Jeshi wanatakiwa kuwavaa nguo zao kazi wakiwa kambini, Au kazini

kwa nchi zilizoendelea huwezi kukuta Jeshi wanatembea ovyo Mitaani wakiwa wamevaa mavazi yao ya kazi..
 
Hawa wa bongo hawatakuelewa,maana huwa wanasafiri nazo kibaha to kagera kwenda kusalimia[emoji23][emoji23].
 
Pambaneni na mwenzenu GODZILLA , mkimaliza mmoja aingie lindo getini na mwingine apande deffender aende doria
GODZILLA nanga tu,askari gani anaenda range anakosa zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kapewa adhabu shikan pistol hii na risasi moja kajipige kichwani,akairudisha kwa mkuu pia kajikosa.wakaamua wamuajiri hivyo hivyo tu,atabeba hata mikate vitani.
 
Sasa we nawe! Hehehee...

Askari na "nguo za kijeshi" wapi na wapi bhana au unajibusti confidence tu?

Jiamini bhana! Unaonekana dhaifu sana wewe ndio maana unajiambatanisha na misamiati ya "jeshi jeshi" kila wakati!

"Nguo za kijeshi"........Heheheee!
Huelewi unachokiandika, na hujui maana ya neno " Askari"
 
Back
Top Bottom