Askari wa Jeshi la Polisi sasa wanajificha huwezi waona na sare zao mtaani

Acha umbea bro, ndio maana huwa mna kandamizwa shigo mpaka mnashindwa kupumua
 
Hakuna lolote!.

Upelelezi gani wanafanya Tanganyika hii bhana weweee!!

Ujinga mtupu!
 
private wa JW unawaponda PT, mna matatizo gani nyie askari?
 
Mi nadhani kanuni zao za kazi zinawazuia kuzurura na uniform kama hauko kazini. Zamani ilikuwa rahisi kuwaona maana walikuwa na utawala wa manyani kila mtu na lake.
 
Mkuu huo ndio Mfumo wa.vyombo vya Usalama Dunia nzima,..

Sio Askari Polisi tu bali hata Jeshi wanatakiwa kuwavaa nguo zao kazi wakiwa kambini, Au kazini

kwa nchi zilizoendelea huwezi kukuta Jeshi wanatembea ovyo Mitaani wakiwa wamevaa mavazi yao ya kazi..
 
Hawa wa bongo hawatakuelewa,maana huwa wanasafiri nazo kibaha to kagera kwenda kusalimia[emoji23][emoji23].
 
Pambaneni na mwenzenu GODZILLA , mkimaliza mmoja aingie lindo getini na mwingine apande deffender aende doria
GODZILLA nanga tu,askari gani anaenda range anakosa zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kapewa adhabu shikan pistol hii na risasi moja kajipige kichwani,akairudisha kwa mkuu pia kajikosa.wakaamua wamuajiri hivyo hivyo tu,atabeba hata mikate vitani.
 
Huelewi unachokiandika, na hujui maana ya neno " Askari"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…