Askari wa jiji wapokea kipigo toka kwa machinga mtaa wa Samora

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao.

Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao.

Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia wenye haki ya kujipatia kipato nchini mwao.
 
Nani mvamizi kati ya mfanyibiashara na mgambo?
Mgambo anawaonea au anatekeleza maagizo ya muajiri?
Je hao wafanyabiashara wako hapo kwa kuzingatia sheria?
 
Hao machinga wahame kwa muda Kabla hawajakipata kilimchomtoa kanga manyoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…