Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao.
Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao.
Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia wenye haki ya kujipatia kipato nchini mwao.