Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Imeshamfikia CDF itachukuliwa hatua kali iwe fundisho kwa wengine, tatizo hapo elimu, hawa wa vyeo vya mabegani kidogo shule mgogoro, nguvu kuliko akili. Atapoteza ajira na mafao yake ilhali amekaribia kustaafu.
 
Ta
Tangu mpewe uhuru wa kumsemea feitoto mnajiona mnaweza kushinik8za chochote!!
 
Imeshamfikia CDF itachukuliwa hatua kali iwe fundisho kwa wengine, tatizo hapo elimu, hawa wa vyeo vya mabegani kidogo shule mgogoro, nguvu kuliko akili. Atapoteza ajira na mafao yake ilhali amekaribia kustaafu.
Mkuu hao wa vyeo vya mabegani ni maafisa na ndio waliosoma hawa wa chini vyeo vyao ni vya mikononi
 
Nampongeza huyo afwande jw maana hawa wenzetu ni kero kwa kubambikizia makosa na kudai rushwa

Nami namwongezea huyo alieitwa paka kuwa sio tu paka bali Paka shume
 
Swali la pre form one
Hata mipaka ya.nchi inalindwa na Polisi na Uhamiaji dunia nzima. Tunaweza kupunguza ukubwa wa jeshi na bajeti hiyo tukahamishia Polisi? Kuna nchi hazijawahi kupigana vita kabisa sijui kama zina ulazima wa kuwa na jeshi la gharama kubwa?

Swiss hawana jeshi. Japan wamepunguza matumizi ya jeshi na jeshi lao haliendi kupigana popote hata kwenye Vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kulinda amani.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Yeye mwenyewe angeingiliwa majukumu yake asingekubali
 
Wewe ni raia au askari???
 
Mkuu hao wa vyeo vya mabegani ni maafisa na ndio waliosoma hawa wa chini vyeo vyao ni vya mikononi

Majeshi yote yapo kwa mujibu wa katiba ya nchi,kila mtu atimize majukumu yake accordingly.Shida ni shule.Maafisa wanaenda TMA,hawa wengine unakuta kapiga basic course tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…