Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Koplo Daniel Warioba (43) kutoka Kikosi cha 92 TJ kwa tuhuma za kumuua Mke wake Joyce Ismail (35) ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Ruvu Darajani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana huu katika eneo la Janga, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi.

Kamanda Wankyo alisema askari huyo anadaiwa kumchoma mke wake na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili na kumsababishia kifo.

Kwa mujibu wa Kamanda Wankyo, baada ya kutekeleza mauaji hayo, mtuhumiwa anadaiwa alitaka kunywa sumu kwa lengo la kujiua.

Wankyo alisema polisi wamemkamata mtuhumiwa huyo na anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa ya Tumbi, huku chanzo cha tukio hilo kikiendelea kuchunguzwa.

Chanzo: Millard Ayo

Muwe mnamaliza Kwanza Udangaji ( Uhuni ) wenu na mkishaona mmemaliza ndipo muwe pia mnakubali Kuolewa na Wanaume wa Kikurya sawa?
🤣🤣
 
Chanzo cha mauaji hakijasemwa iweje wewe mpita njia ulaumu wanawake wa kiswahili kuwa ni wadangaji wasiotulia?

Bila Shaka unaungomvi na hao wanawake wa uswahilini 😁😁
Sina Ugomvi na Wanawake kwani ndiyo hunipa Utamu wa 'Kibaiolojia' tuwapo Vitandani ila nina Ugomvi na wale wasiotulia na Kuolewa na Wajeda.
 
Ushauri mbovu!

Una maanisha mwanamke akidanga kifo kitakuwa halali yake?

Kwa hiyo kwa kuwa kadanga auawe?

Kosa la kudanga na adhabu ya kifo havilandani kabisa.

Makosa mawili hayatengenezi uhalali.

Two wrongs never make right.

Kumuua mdangaji, hakumuondolei muuaji hatia.

Kusingekuwa na sheria basi tungehalalisha uhuni mwingi, mfano, Mkurya ukimuudhi anakuua. Rubish!
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
 
Chanzo cha mauaji hakijasemwa iweje wewe mpita njia ulaumu wanawake wa kiswahili kuwa ni wadangaji wasiotulia?

Bila Shaka unaungomvi na hao wanawake wa uswahilini [emoji16][emoji16]
Kimesemwa ni wivu wa mapenzi na kufumania
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
Mkuu achana na hilo Bumunda (Pumbavu) kwani linadhani hadi Mwanaume kufikia Kuchukua hatua hiyo hakuvumilia na hajaumizwa vya Kutosha.

Cc: Mmassy JM
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Koplo Daniel Warioba (43) kutoka Kikosi cha 92 TJ kwa tuhuma za kumuua Mke wake Joyce Ismail (35) ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Ruvu Darajani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana huu katika eneo la Janga, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi.

Kamanda Wankyo alisema askari huyo anadaiwa kumchoma mke wake na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili na kumsababishia kifo.

Kwa mujibu wa Kamanda Wankyo, baada ya kutekeleza mauaji hayo, mtuhumiwa anadaiwa alitaka kunywa sumu kwa lengo la kujiua.

Wankyo alisema polisi wamemkamata mtuhumiwa huyo na anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa ya Tumbi, huku chanzo cha tukio hilo kikiendelea kuchunguzwa.

Chanzo: Millard Ayo

Muwe mnamaliza Kwanza Udangaji ( Uhuni ) wenu na mkishaona mmemaliza ndipo muwe pia mnakubali Kuolewa na Wanaume wa Kikurya sawa?
Mnyarwanda anapomsifu Mkurya.
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
Hao wanapenda kurahisisha kila jambo....

Wanadhani ni hisia tu katiba ya nchi kuwa na haki za faragha...

Wanadhani ni hisia tu sheria ikatambua tofauti ya MURDER charges na MANSLAUGHTER....
 
Mkuu achana na hilo Bumunda ( Pumbavu ) kwani linadhani hadi Mwanaume kufikia Kuchukua hatua hiyo hakuvumilia na hajaumizwa vya Kutosha.

Cc: Mmassy JM
Mimi kuna mwanamke nilishajaribu kufanya mazoezi ya kusamehe baada ya kum'bamba na yeye kukiri kuwa ni kweli alikuwa ana cheat.

Aiseee ni ngumu sana wanaume huwa hatusamehe usaliti nimeamini. Yaani alikuwa akipigiwa simu au kutextiwa na mwanaume hata kama hakuna kibaya wamefanya aiseee nilikuwa namind nahisi ananiigizia na kuna jambo anaficha.

Kuna muda nakuwa napata tu hasira natamani nimpe hata makofi but roho inanambia unampenda hauwezi kumpiga.

Niliteseka sana.

So naelewa nikiona mtu hadi anashika panga.
 
Back
Top Bottom