Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Duuh...Askari wengi tena wengi sana wanaoa malaya tatizo linaanzia hapo ila CDO nae kazingua wiki ya ngapi hii unaua mwanamke.
Sababu zipi zinapelekea wao kuwaoa hao "mayaala"?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh...Askari wengi tena wengi sana wanaoa malaya tatizo linaanzia hapo ila CDO nae kazingua wiki ya ngapi hii unaua mwanamke.
Eti amejaribu kujiua kwa sumu!!! [emoji16][emoji16] siangejinyonga tu Kama alikuwa Yuko serious kweliHawa askari hodari kuua, lakini kujiua waoga sana
[emoji16]Askari mzembe,,unashindwaje kujiua aiseee,,uzembe sanA
Mkuu mbona ndoa ni kama kironge cha CHLOROQUINE tu..Halafu mnatushauri Kuoa
My foot[emoji848]
Kuombewa nini?!!Wana ndoa once again,jamani mkienda kwenye ibada muwe mnatuombea maana hali ni tete...
Tiba yenyewe ndio Kama hiyo aliyoipata huyo mwanajeshi au sio 😄 ana kwenda jela sasaMkuu mbona ndoa ni kama kironge cha CHLOROQUINE tu..
Kichungu ila "kinatibu"🤣
Maisha ni safari....
Mazingira ya kazi zao muda mwingi wapo mbali na home na starehe ndio furaha ya askari kwa kazi ngumu anazofanya kwahiyo wanawake wazuri ambao wenye tabia za umalaya wanakua cheap sana kuwapata mwishowe ananogewa kwa muda mfupi anaoa chap chap. Kumbuka muda wa kukaa na huyu hana, muda mwingi yupo kozi, uhamishoni au operation mbalimbali.Duuh...
Sababu zipi zinapelekea wao kuwaoa hao "mayaala"?!!
👍Mazingira ya kazi zao mda mwingi wapo mbali na home na starehe ndio furaha ya askari kwa kazi ngumu anazofanya kwaiyo wanawake wazuri ambao wenye tabia za umalaya wanakua cheap sana kuwapata mwishowe ananogewa kwa mda mfupi anaoa chap chap. Kumbuka mda wa kukaa na huyu hana mda mwingi yupo kozi,uhamishoni au operation mbalimbali.
Atarudi job kweli uyoMakamanda wenzangu tuache wivu.
🤣🤣Makamanda wenzangu tuache wivu.
Mike wakituizi wake zetu tuwatupie taulo tuu[emoji1787][emoji1787]
Kamanda mke anauma Mike....
Kaa nae mbali Mkuu jamaa wanajua kuua tu sio kama FFU wanaojua kupapasaNdiyo hao hao Mkuu. Kuna Mmoja nakaa Jirani na Mkewe huwa hata Sitaki Mkewe anizoee asije Kunisababishia Safari yangu ya Kaburini Kuwadia.
Mike banaa 🤣🤣Kaa nae mbali Mkuu jamaa wanajua kuua tu sio kama FFU wanaojua kupapasa
Mkuu kuna mapori na kuna 92..Mike banaa 🤣🤣
Mbona FFU wa siku hizi nao ni recruiters wa kutokea "porini"?!!