Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

🤣🤣
 
Chanzo cha mauaji hakijasemwa iweje wewe mpita njia ulaumu wanawake wa kiswahili kuwa ni wadangaji wasiotulia?

Bila Shaka unaungomvi na hao wanawake wa uswahilini 😁😁
Sina Ugomvi na Wanawake kwani ndiyo hunipa Utamu wa 'Kibaiolojia' tuwapo Vitandani ila nina Ugomvi na wale wasiotulia na Kuolewa na Wajeda.
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
 
Chanzo cha mauaji hakijasemwa iweje wewe mpita njia ulaumu wanawake wa kiswahili kuwa ni wadangaji wasiotulia?

Bila Shaka unaungomvi na hao wanawake wa uswahilini [emoji16][emoji16]
Kimesemwa ni wivu wa mapenzi na kufumania
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
Mkuu achana na hilo Bumunda (Pumbavu) kwani linadhani hadi Mwanaume kufikia Kuchukua hatua hiyo hakuvumilia na hajaumizwa vya Kutosha.

Cc: Mmassy JM
 
Mnyarwanda anapomsifu Mkurya.
 
Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!
Hao wanapenda kurahisisha kila jambo....

Wanadhani ni hisia tu katiba ya nchi kuwa na haki za faragha...

Wanadhani ni hisia tu sheria ikatambua tofauti ya MURDER charges na MANSLAUGHTER....
 
Mkuu achana na hilo Bumunda ( Pumbavu ) kwani linadhani hadi Mwanaume kufikia Kuchukua hatua hiyo hakuvumilia na hajaumizwa vya Kutosha.

Cc: Mmassy JM
Mimi kuna mwanamke nilishajaribu kufanya mazoezi ya kusamehe baada ya kum'bamba na yeye kukiri kuwa ni kweli alikuwa ana cheat.

Aiseee ni ngumu sana wanaume huwa hatusamehe usaliti nimeamini. Yaani alikuwa akipigiwa simu au kutextiwa na mwanaume hata kama hakuna kibaya wamefanya aiseee nilikuwa namind nahisi ananiigizia na kuna jambo anaficha.

Kuna muda nakuwa napata tu hasira natamani nimpe hata makofi but roho inanambia unampenda hauwezi kumpiga.

Niliteseka sana.

So naelewa nikiona mtu hadi anashika panga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…