Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

Ishi na mwanamke kwa akili Kama huna akili usioe yatakupata madhara.
 
Askari akuiva somo la uvumilivu lilimshinda.
Ukiweza himili mdomo mchafu wa wanawake wewe ni shujaa.
Kashfa maneno machafu ya shombo toka kwa wanawake ndo chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume, ndo chanzo cha wanaume kushinda Sana bar kuliko nyumbani, ndo chanzo cha kuuliwa kwa wanawake wengi.
Wanawake wakisafisha midomo yao hakuna ndoa itakayovunjika.
Ulimi ni silaha kubwa kuliko bomu la nyuklia
 
 
Wanaume wengi ulalamika midomo ya wanawake ndo sumu. Wanaume awapendi kelele, awapendi ubabe,vurugu.
 
Then what happened, bado mnaendelea I mean umeshamsamehe?
 
Hakuna maumivu katika mahusiano kwa mwanaume km haya ya usaliti, mimi kwa mtazamo wangu naona wanawake bado hawajawa na hisia ya kipimo halisi ya jinsi mumewe anavyoumia ,na mara nyingi ukichunguza utagundua kuwa kuna kujirudia kwa matukio hayo ambapo Mume huwa anajaribu kutafuta muafaka bila mafanikio, na mke kwa kujua Mume anampenda anaamua kufanya mambo yake uwazi,matokeo yake hasira isiyo vumilika na maamuzi mabaya
 
aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Six week na ujanja wa porini medani za kivita haviaply kwenye mapenz.
Somo la uvumilivi ni kuhimili maovyo ovyo ya kazin hasa toka kwa viongozi. kwa sio toka "kwa mke"

Isitoshe boda boda au fundi ujenz akichapiwa haimake headline kama askari na ndo kinachowaumiza wengi.
 
Jamaa nae kashakufa alipokua amelazwa hospali ya mloganzila inasikitisha sana ameacha watoto watatu wote wadogo
 
Huyo mjeshi ataenda kupakatwa jela.
Yanini aue mtu kisa alikula vijisenti vyake.?
Kama kafa ni vizuri wajinga wapungue duniani.
 
Wivu wa mapenzi maana yake nini?

Asiwe na wivu akubali kugawana mkewe na jamii inayomzunguka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…