MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z.
Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri...
CCM inawatafuta hao Askari, wakuu wa baadhi ya Vikosi hasa Dar es salaam, sasa msipuuzie kila taarifa ya mtandaoni, na kama bado hamuanini kwa nini Samia anaulinzi mkubwa zaidi akiwa Mkoani hapo na hakai sana kama ilivokuwa kabla ya October 29.
Sio lazima muwe wote ila Askari 5000 mkisema kwa sauti kila kitu kitakuwa kipya