Askari wa JWTZ kaaeni chini mpange kuikataa CCM, inawafuata

Askari wa JWTZ kaaeni chini mpange kuikataa CCM, inawafuata

Mantiki yako hapo ni kusema 'hana akili' siyo?

Sasa kwa kutokujua kwako badala ya kumdiss, umeendelea kumpromote!

'Missuse' za silabi limekuwa ni tatizo sugu katika uandishi, sielewi kwa nini!
Elimu ya hapa na pale... a.k.a elimu mbalimbali..
Then shida inakuja ukiwarekebisha utasikia wanakwambia
"lakini si umeelewa"?!
 
Kabla ujaongea ujinga wako ungefuatilia ni kias gan hawa jamaa wanafaidika na uwepo wa Ccm

Ebu fuatilia ni mikopo na pesa kias gan hao majamaa walipewa na kuingiza pindi ya uchaguzi

Kwa lugha fupi tu usitegeme msaada wwte toka kwa hao jamaa maana wananufaika sana na sio wa vyeo vya juu wala vya chini wote wanafaidika sana
 
Back
Top Bottom