MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Mpasuko wa JWTZ utauona SoonOctober 29 imeacha mpasuko mkubwa sana.
Siamini kama hili jambo litaisha hivi hivi.
Maza angekuwa na Akili timamu asingeunda Ile tume ya kijinga... matokeo ya tume yamezidisha mpasuko
😃😅😁😄😃😅🙆♂️🙅♂️🚀🚀Siji kuwaamini tena hawa jamaa
Tatizo wanatamani hata kesho shida ni wakubw wao baadhi hawajakaa pamoja wakaelewanaLeo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z.
Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri...
CCM inawatafuta hao Askari, wakuu wa baadhi ya Vikosi hasa Dar es salaam, sasa msipuuzie kila taarifa ya mtandaoni, na kama bado hamuanini kwa nini Samia anaulinzi mkubwa zaidi akiwa Mkoani hapo na hakai sana kama ilivokuwa kabla ya October 29.
Sio lazima muwe wote ila Askari 5000 mkisema kwa sauti kila kitu kitakuwa kipya
We una akili.Siji kuwaamini tena hawa jamaa
Haya, endelea kusubiriMpasuko wa JWTZ utauona Soon
Na lingine tena kubwa hata CDF analindwa na vijana wa PSU na siyo makomandoo wa JW.Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z.
Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri...
CCM inawatafuta hao Askari, wakuu wa baadhi ya Vikosi hasa Dar es salaam, sasa msipuuzie kila taarifa ya mtandaoni, na kama bado hamuanini kwa nini Samia anaulinzi mkubwa zaidi akiwa Mkoani hapo na hakai sana kama ilivokuwa kabla ya October 29.
Sio lazima muwe wote ila Askari 5000 mkisema kwa sauti kila kitu kitakuwa kipya
Mantiki yako hapo ni kusema 'hana akili' siyo?We una akili.
Ehh noma sanaNa lingine tena kubwa hata CDF analindwa na vijana wa PSU na siyo makomandoo wa JW.View attachment 3590368View attachment 3590368⁷
Mwenyewe kanielewa vizr tu. We wp hujaelewa? Au nyie ndo kundi la wanaosubiri eti JW wapindue serikali?Mantiki yako hapo ni kusema 'hana akili' siyo?
Sasa kwa kutokujua kwako badala ya kumdiss, umeendelea kumpromote!
'Missuse' za silabi limekuwa ni tatizo sugu katika uandishi, sielewi kwa nini!
Hizi elimu za shule za siku hizi shida sana, wanafanya vice versa, huna wanaandika una na una wanaandika huna, na utakuta mtu ni graduate wa elimu ya juu kabisa lakini hawezi kutoutisha.Mantiki yako hapo ni kusema 'hana akili' siyo?
Sasa kwa kutokujua kwako badala ya kumdiss, umeendelea kumpromote!
'Missuse' za silabi limekuwa ni tatizo sugu katika uandishi, sielewi kwa nini!