residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,348 Reaction score 15,205 May 18, 2026 #21 CHIEF PRIEST said: Na lingine tena kubwa hata CDF analindwa na vijana wa PSU na siyo makomandoo wa JW.View attachment 3590368View attachment 3590368⁷ Click to expand... Hao sio PSU, hao ni ASU (Abdul Security Unit).
CHIEF PRIEST said: Na lingine tena kubwa hata CDF analindwa na vijana wa PSU na siyo makomandoo wa JW.View attachment 3590368View attachment 3590368⁷ Click to expand... Hao sio PSU, hao ni ASU (Abdul Security Unit).
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 May 18, 2026 #22 Sakasaka Mao said: Mantiki yako hapo ni kusema 'hana akili' siyo? Sasa kwa kutokujua kwako badala ya kumdiss, umeendelea kumpromote! 'Missuse' za silabi limekuwa ni tatizo sugu katika uandishi, sielewi kwa nini! Click to expand... Elimu ya hapa na pale... a.k.a elimu mbalimbali.. Then shida inakuja ukiwarekebisha utasikia wanakwambia "lakini si umeelewa"?!
Sakasaka Mao said: Mantiki yako hapo ni kusema 'hana akili' siyo? Sasa kwa kutokujua kwako badala ya kumdiss, umeendelea kumpromote! 'Missuse' za silabi limekuwa ni tatizo sugu katika uandishi, sielewi kwa nini! Click to expand... Elimu ya hapa na pale... a.k.a elimu mbalimbali.. Then shida inakuja ukiwarekebisha utasikia wanakwambia "lakini si umeelewa"?!
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 May 18, 2026 #23 residentura said: Hao sio PSU, hao ni ASU (Abdul Security Unit). Click to expand... Na kweli maana hata Mombo anapokea maagizo toka kwa Abdul, inasikitisha sana.
residentura said: Hao sio PSU, hao ni ASU (Abdul Security Unit). Click to expand... Na kweli maana hata Mombo anapokea maagizo toka kwa Abdul, inasikitisha sana.
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,806 Reaction score 2,723 May 18, 2026 #24 Kabla ujaongea ujinga wako ungefuatilia ni kias gan hawa jamaa wanafaidika na uwepo wa Ccm Ebu fuatilia ni mikopo na pesa kias gan hao majamaa walipewa na kuingiza pindi ya uchaguzi Kwa lugha fupi tu usitegeme msaada wwte toka kwa hao jamaa maana wananufaika sana na sio wa vyeo vya juu wala vya chini wote wanafaidika sana
Kabla ujaongea ujinga wako ungefuatilia ni kias gan hawa jamaa wanafaidika na uwepo wa Ccm Ebu fuatilia ni mikopo na pesa kias gan hao majamaa walipewa na kuingiza pindi ya uchaguzi Kwa lugha fupi tu usitegeme msaada wwte toka kwa hao jamaa maana wananufaika sana na sio wa vyeo vya juu wala vya chini wote wanafaidika sana