ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Hahahahha au we bado una imani na wale wakulungwa?Hahaha mkuu nimecheka sana hii comment yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha au we bado una imani na wale wakulungwa?Hahaha mkuu nimecheka sana hii comment yako
Uzi uliouweka umeulenga kwenye mtazamo wako.Kamanda muliro mchana huu amewatunukia zawadi za vyeti na pesa kwa mashujaa wetu wa jeshi la polisi waliojitoa mhanga kupambana na Hamnza wakafanikiwa kumuuwa
Katika ukurasa wa instagram wa millard ayo ameripoti tukio hilo lakini chakushangaza badala ya wananchi kupongeza jeshi letu wameonekana kuweka emoji za kucheka na kuwadhihaki mashujaa wetu kuwa hawakustahili kupewa zawadi eti walikuwa hawana shabaha
Yaani wanatunukiwa kana kwamba wamefanya Jambo la ajabu, wakati ni wajibu wao..🤔Askari polisi 11 waliomdhibiti na kumuuwa gaidi Hamza pale Selender bridge wamepewa vyeti vya kutambua ujasiri na uzalendo wao uliotukuka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Acha wapewe wamefanya kazi kubwaAskari polisi 11 waliomdhibiti na kumuuwa gaidi Hamza pale Selender bridge wamepewa vyeti vya kutambua ujasiri na uzalendo wao uliotukuka.
Mungu ni mwema wakati wote!
DramaAskari polisi 11 waliomdhibiti na kumuuwa gaidi Hamza pale Selender bridge wamepewa vyeti vya kutambua ujasiri na uzalendo wao uliotukuka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Gaidi hana chama bwashee!Wamemua mwana CCM
Halafu wanapongezanaWamemua mwana CCM
Ndio mkuu naamini hilo swali ni languMkuu salama?
Hivi ile mrithi wa kilinge alipatikana?
Mkuu vipi umefanikiwa kuishinda ile roho iliyokua inakusukuma kurudi kwenye ulozi ??Ndio mkuu naamini hilo swali ni langu
Askari polisi 11 waliomdhibiti na kumuuwa gaidi Hamza pale Selender bridge wamepewa vyeti vya kutambua ujasiri na uzalendo wao uliotukuka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Swali ni kwa nini Hamza aliuwa askari tu na hamkudhuru raia hata mmoja?Askari polisi 11 waliomdhibiti na kumuuwa gaidi Hamza pale Selender bridge wamepewa vyeti vya kutambua ujasiri na uzalendo wao uliotukuka.
Mungu ni mwema wakati wote!
Mwenye majawabu ni Hamza mwenyewe!Swali ni kwa nini Hamza aliuwa askari tu na hamkudhuru raia hata mmoja?
Lisipojibiwa swali hili mambo mengine yote hayana tija kwa Mtanzania.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app