Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

Tanzania ukitimiza wajibu uliouombea kazi unapewa vyeti.. sasa wajibu wakonutakuwa ni nin
 
Mbona unaremba, hakuna cha "kudihibiti" sema waliomuua Hamza wa chama cha.... 🐒
 
Lile tukio ni la aibu kwa Jeshi la Polisi.. Video clips zote zilizorushwa kuhusiana na tukio lile, zilionyesha mapungufu makubwa ya askari Polisi.. Polisi walirusha risasi zaidi ya elfu, bila ya mlengwa kuguswa nazo.. Zile video clips zilionyesha Polisi waliokuwa wanarusha risasa ovyo, mpaka kufikia kujeruhiana wenyewe kwa wenyewe.. Ni pale tu, alipopigwa risasi za mguu na kuanguka, ndipo video clips zinaonyesha risasi nyingi alizopigwa akiwa tayari chini, na amekufa..

Badala ya kuwapa vyeti hao askari, nadhani wangewarudisha depo, wakachukue tena mafunzo ya kulenga shabaha..
 
Hhahah askari 11 vs hamza 1, jumlisha wale waliokufa , askari 15 vs hamza 1
hahahaha
Alafu kwenye majibu yao ya uchunguzi wanasema eti hamza alijifunza matumizi ya silaha kupitia simu yake ya kiganjani kwenye mitandao ya kigaidi.

Kama amejifunza tu kwa simu amewasumbua hivi what if angejifunzia practical kabisa ?
 
Mmhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…