mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Page ya Instagram ya wananchiforum imeripoti kuonekana kwa Askari jeshi , waliovalia kombati za JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe , Uganda.
Kwani Tanzania ina hati milki ya hizo uniform? Kwani, askari wa Uganda hawawezi kupanda ndege kwenda Somalia ambako wamekuwapo siku nyingi? Acheni uvivu wa kufikiri. Hata ukipewa tip, tumia akili japo kidogo. Ni ushauri tu.Page ya Instagram ya wananchiforum imeripoti kuonekana kwa Askari jeshi , waliovalia kombati za JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe , Uganda.
Na mara baada ya kupost video hizi ,page hii nikama imefutwa kwa muda Instagram.
Je Hawa ndio mercenaries wa M7 tunaoambiwa wanazidi kuja kwetu??. Kama ni wao JWTZ, you guys need to engage now!!. enough is enough!!.Watanganyika wazalendo can't hold it that long.. Retaliation is a must now
KAtika video ngao ya Tanzania inaonekana ,na muda mchache uliopita ndege kutoka Entebbe imetua dar, na muda c mrefu imetoka dar kwenda unknown destination?.na ndio maana nikasema kama ni wenyewe, so probably it's not.so what?Kwani Tanzania ina hati milki ya hizo uniform? Kwani, askari wa Uganda hawawezi kupanda ndege kwenda Somalia ambako wamekuwapo siku nyingi? Acheni uvivu wa kufikiri. Hata ukipewa tip, tumia akili japo kidogo. Ni ushauri tu.
Labda ni wakwetu ,wamepata wito wa haraka kurudi home kutuokoaMbona hata 10 hawafiki
Siyo tu kuingia. Kuingia na kuua raia.Swala la askari wa nchi wa kigeni kuingia Tanzania.
Hiyo ni issue ya usalama wa taifa.
Kamati ya usalama wa taifa inaongozwa na CDF (in words jeshi).
Na kwenye usalama wa taifa, traitor uwa anashughulikiwa.
Kama kuna kikosi cha nchi nyingine kimeingia Tanzania; maana yake hatuna jeshi.
Let’s not give people excuse for not doing their job appropriately.
Maana yake mipaka yetu sio salama.
Hili maana yake vyombo vyetu vya ulinzi ni hovyo mno; call a spade a spade.
Jukumu la usalama wa taifa ni kulinda maslahi ya taifa na raia wake.Siyo tu kuingia. Kuingia na kuua raia.
To me this is incomprehensible. Nashindwa kabisa kuelewa exact motive ya mtu aliyeagiza.
But also, ni reflection kuwa CIC hana Imani na jeshi la wananchi. Hawaamini, ni dharau na ni usaliti.
I expect, kitaanzishwa kikundi maalum within the government ambacho kitakuwa kama jeshi but protecting the interests of SSH.
Mkuu hapa tulipofikia tukubali tu kuwa hatuna usalama wa Taifa wala Jeshi la wananchi ,hapa tunausalama wa CCM na jeshi la CCM na siyo zaidi .Swala la askari wa nchi wa kigeni kuingia Tanzania.
Hiyo ni issue ya usalama wa taifa.
Kamati ya usalama wa taifa inaongozwa na CDF (in words jeshi).
Na kwenye usalama wa taifa, traitor uwa anashughulikiwa.
Kama kuna kikosi cha nchi nyingine kimeingia Tanzania; maana yake hatuna jeshi.
Let’s not give people excuse for not doing their job appropriately.
Maana yake mipaka yetu sio salama.
Hili maana yake vyombo vyetu vya ulinzi ni hovyo mno; call a spade a spade.
Hawa hawakujileta wenyewe, bila ya kuwepo na ushirikiano na wenyeji wao (viongozi wa jeshi letu). Sasa unapo walilia JWTZ wafanye kitu, sijui unataka JWTZ ipi ifanye hivyo!Na mara baada ya kupost video hizi ,page hii nikama imefutwa kwa muda Instagram.
Je Hawa ndio mercenaries wa M7 tunaoambiwa wanazidi kuja kwetu??. Kama ni wao JWTZ, you guys need to engage now!!. enough is enough!!.Watanganyika wazalendo can't hold it that long.. Retaliation is a must now
Ndiyo maana maswala ya aina hii ni muhimu watu wayape umakini mkubwa kabla ya kukimbilia tu kuweka taarifa ambazo hata hujazichuja na kuona uhalisia wake upoje.Hizo beret ni za umoja wa mataifa; nadhani ni sehemu ya vikosi vya Tanzania vilivyoko umoja wa matiafa kwa ajili ya ulinzi wa amani DRC, CAR, Abyei Sudan au South Sudan
Mkuu hiyo ni wishful thinking.Mkuu hapa tulipofikia tukubali tu kuwa hatuna usalama wa Taifa wala Jeshi la wananchi ,hapa tunausalama wa CCM na jeshi la CCM na siyo zaidi .
Tusipokuwa imara kusimama nakufanya maamuzi ya haraka , Taifa linakwenda kuwa mikononi mwa watu wachache waliyojificha kwenye kichaka cha chama cha siasa
Una matatizo mengi sana akilini mwako siku his...., And it's getting worse!PS huyo Warioba if you ask me ni taahira mwingine tu sio sehemu ya suluhisho ya Tanzania ya kesho wala upuuzi wa katiba (ujinga mtupu).
Seek help, kazi yako kuja humu na kutafuta ugomvi na members tu wa JF,Una matatizo mengi sana akilini mwako siku his...., And it's getting worse!