Askari waliovalia kombati za JWTZ waonekana airport Entebbe

Askari waliovalia kombati za JWTZ waonekana airport Entebbe

Swala la askari wa nchi wa kigeni kuingia Tanzania.

Hiyo ni issue ya usalama wa taifa.

Kamati ya usalama wa taifa inaongozwa na CDF (in words jeshi).

Na kwenye usalama wa taifa, traitor uwa anashughulikiwa.

Kama kuna kikosi cha nchi nyingine kimeingia Tanzania; maana yake hatuna jeshi.

Let’s not give people excuse for not doing their job appropriately.

Maana yake mipaka yetu sio salama.

Hili maana yake vyombo vyetu vya ulinzi ni hovyo mno; call a spade a spade.
Hatari na nusu. Kutumia mercenaries ili kubaki madarakani ni usaliti na uhaini ambao hausameheki hapa duniani wala mbinguni.
 
Hao ni wanajeshi waliopo kwenye mission za UN angalia hizo blue berret,

Msiwe mnamezeshwa kila kitu na nyinyi mna meza tu.
 
Seek help, kazi yako kuja humu na kutafuta ugomvi na members tu wa JF,

Salaleh
Kama kukumbusha hali yako mbovu inayozidi kuzorota ni ugomvi, basi sawa, hilo haliwezi kunisumbua mimi.
Hao "members" kama na wao wanayo hali kama yako, siwezi kuacha kuwakumbushia hivyo hivyo. Hili siyo Jukwaa la machizi.
 
Kiongozi people don’t care about your opinion of them. That doesn’t mean they can’t exchange ideas with you.

Shida yako ni kutaka wajadili viewpoints ambazo wao hawajaziongelea bali umezibuni wewe na kutaka kulazimisha hiyo ndio mitazamo yao.
 
Shida yako ni kutaka wajadili viewpoints ambazo wao hawajaziongelea bali umezibuni wewe na kutaka kulazimisha hiyo ndio mitazamo yao.
Mkuu 'Qimby', rudi nyuma usome bandiko lako lote, na hasa sehemu niliyo inyanyua na kukujibu. Clearly you're losing it big time!
 
Mkuu 'Qimby', rudi nyuma usome bandiko lako lote, na hasa sehemu niliyo inyanyua na kukujibu. Clearly you're losing it big time!
What pleasure do you get in insulting people all the time in this forum?

Not that your opinion matters, just out of curiosity.
 
Tz kwa kifupi hatuna jeshi. Jeshi gani linafungwa mikono na wanasiasa
 
What pleasure do you get in insulting people all the time in this forum?

Not that your opinion matters, just out of curiosity.
Sasa mara hii umegeuka kuwa Samia asiyependa kuambiwa ukweli?
Unahimiza lugha ya staha wakati yako mwenyewe ikiwa haina staha yoyote?

Maana ya kutukana ni nini?
 
Back
Top Bottom