Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

Hii inaonyesha jeshi la polisi halina wataalam wa kutosha
Hivi vifaa vya siku hizi vina operaating system kama kompyuta, hata ufute vipi data, zinaweza kurudishwa
 
Rushwa ilivyo kubwa huko Road na imekua kero kwa waendesha magari kila siku unasimamishwa gari hilo hilo askari huyo huyo kana kwamba jana na leo gari imebadilika aisee .
 
Ilikuwa haina haja kutoa taarifa kwa umma bila kuweka majina ya hao askari walifukuzwa.

Kama ni taarifa ya siri wangebaki nayo wenyewe full stop.
 
Wanakuja kutusumbua mtaani tu kwani hawana tofauti na majambazi
 
Back
Top Bottom