Duuuh mzaa chema anazidi kufeli tu..Police wamevamia press conference ya Makamu Mwenyekiti Heche. Wamepiga mabomu Lakini Heche kaanza kuzungumza.
Polisi wanasema wanauhitaji uongozi wote wa Chadema uende polisi. Heche kakataa na kasema wataenda baada ya press conference
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.Ndugu zetu wa Songea tujuzeni kama taarifa hii ni ya ukweli, inadaiwa Askari wa Jeshi la Polisi wamefika katika eneo ambalo CHADEMA walipanga kukutana na wanahabari kabla ya kufanyika kwa mkutano wao mchana wa leo Aprili 10, 2025.
Inadaiwa mabomu ya machozi yamerushwa na Wananchi waliokuwa wamesogea eneo la tukio wamesambaa na kuzua taharuki.
Tujuzeni kama hizi taarifa ni za kweli na nini kinachoendelea
Ndugu zetu wa Songea tujuzeni kama taarifa hii ni ya ukweli, inadaiwa Askari wa Jeshi la Polisi wamefika katika eneo ambalo CHADEMA walipanga kukutana na wanahabari kabla ya kufanyika kwa mkutano wao mchana wa leo Aprili 10, 2025.

Lazima utakuwa ni mwizi wa kizanzibariWATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Mnufaika wa Minada ya mkojani Jiwe ashalala zake.WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Walikuletea fujo lini?Hebu endelea kuchambua matembele.Mambo ya watu wazima huwezi kuyajua.WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Nchi imetulia mzee Kibao na Soka , Roma si ndugu zakoWATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Wewe MBWA tu hufai hata kuwa dekio la waarabu! wenzio washavuta mtonyo we umebakia kubwekea wazalendo! Mtumwa wa akili za kufugwa Jini Majununi!WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Ndugu zetu wa Songea tujuzeni kama taarifa hii ni ya ukweli, inadaiwa Askari wa Jeshi la Polisi wamefika katika eneo ambalo CHADEMA walipanga kukutana na wanahabari kabla ya kufanyika kwa mkutano wao mchana wa leo Aprili 10, 2025.
Inadaiwa mabomu ya machozi yamerushwa na Wananchi waliokuwa wamesogea eneo la tukio wamesambaa na kuzua taharuki.
Tujuzeni kama hizi taarifa ni za kweli na nini kinachoendelea
========================
Awlai kuelekea mkutano huo na Wanahabari, taarifa iliyotolewa upande wa CHADEMA
Mama yako nani? Ukute jinga moja liko sehemu maisha mabovu!WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Wewe nawe mjinga tu! Wanaongeleq leo unalazimisha mambo ya jana! Ukute CCM wewe!Habari ya Jana hiyo. Watu washasahau na kusahau