PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makamu Mwenyekiti na viongozi wengine wa CHADEMA wapo Kituo cha Polisi Songea baada ya Jeshi hilo kupeleka wito wa kuhitajika kituoni hapo.

Nini sababu ya Kuitwa Mchana huu?

Je, Watachomoka salama?

IMG-20250410-WA0008.jpg
Jioni ya leo Heche alikuwa afanye Mkutano wa hadhara Songea Mjini.


WhatsApp Image 2025-04-10 at 12.43.09_4c08d424.jpg

WhatsApp Image 2025-04-10 at 12.43.10_b14aec21.jpg

WhatsApp Image 2025-04-10 at 12.43.10_38c18f28.jpg
 
Muda mfupi uliopita Heche, Lema Na viongozi wengine wamekamatwa Na polisi. Viongozi WA Chadema walipanga kuzungumza Na waandishi WA habari Leo kabla ya mkutano WA hadhara katika ofisi zao Za Chama zilizopo Kata ya mfaranyaki manispaa ya Songea.

wakati wakijiandaa kuanza mazungumzo walizuiwa Na jeshi la polisi Kwa kuwaombia waende kituoni wakaonane Na kamanda kabla ya kuzungumza Na waandishi WA habari Heche Na viongozi wenzake walikataa wakajibu wataenda baada ya kuzungumza Na waandishi WA habari.

Alifanikiwa kuzungumza Kidogo hata nusu ya page hakuifikia Na baada ya Muda mchache magari ya polisi yaliingia Na kuwakamata Kwa nguvu Na kuondoka nao. Na kabla ya kuanza press polisi walifika ofisi Za Chama ambako baadhi ya wanachama walikuwepo Na kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya Kisha wakaenda viwanja vya Shule ya msingi Matarawe walikoandaa kufanya mkutano wahadhara nako kuwatawanya wananchi.

Heche kasema kwamba hawajui Lissu Yuko wapi' Na hawajui kwanini kakamatwa Na kusema CCM ndio walioratibu mpango WA kukamatwa Kwa Lisu. Ikumbukwe Lissu alikamatwa siku ya Jana akiwa wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
 

Attachments

  • VID_20250410_105907.mp4
    49.8 MB
Makamu Mwenyekiti na viongozi wengine wa CHADEMA wapo Kituo cha Polisi Songea baada ya Jeshi hilo kupeleka wito wa kuhitajika kituoni hapo.

Nini sababu ya Kuitwa Mchana huu?

Je, Watachomoka salama?
View attachment 3298911
Jioni ya leo Heche alikuwa afanye Mkutano wa hadhara Songea Mjini.
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21).

Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile:
(1) Kanuni ya Jinai (Penal Code): Vifungu namba 38 (kuchochea fujo- sedition), 40 (kuchochea machafuko-inciting unrest), au 41 (kuashiria kusudi la kuvunja utulivu wa umma-conspiracies to breach public peace) vinaweza kutumika kuwashitaki wanaotangaza mambo hayo.

(2) Sheria za Usalama wa Taifa: Kuchochea uasi kunaweza kuchukuliwa kama udhalilishaji wa mamlaka ya Serikali, na kusababisha kukamatwa, mashtaka, na hukumu ya jela ikiwa wata patikana na hatia.

(3) Msajili wa Vyama vya Siasa, Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi. Ikiwa chama au wanachama wake kinatangaza mambo yanayokiuka Katiba (kama vile kukataa uchaguzi kwa njia za vurugu), Msajili anaweza:
  • Kutoa onyo la kisheria
  • Kufuta chama kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Kifungu cha 11(2)(e), ikiwa kinaendelea kukiuka masharti ya kikatiba.
 
Muda mfupi uliopita Heche, Lissu Na viongozi wengine wamekamatwa Na polisi. Viongozi WA Chadema walipanga kuzungumza Na waandishi WA habari Leo kabla ya mkutano WA hadhara katika ofisi zao Za Chama zilizopo Kata ya mfaranyaki manispaa ya Songea.
wakati wakijiandaa kuanza mazungumzo walizuiwa Na jeshi la polisi Kwa kuwaombia waende kituoni wakaonane Na kamanda kabla ya kuzungumza Na waandishi WA habari Heche Na viongozi wenzake walikataa wakajibu wataenda baada ya kuzungumza Na waandishi WA habari.
Alifanikiwa kuzungumza Kidogo hata nusu ya page hakuifikia Na baada ya Muda mchache magari ya polisi yaliingia Na kuwakamata Kwa nguvu Na kuondoka nao. Na kabla ya kuanza press polisi walifika ofisi Za Chama ambako baadhi ya wanachama walikuwepo Na kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya Kisha wakaenda viwanja vya Shule ya msingi Matarawe walikoandaa kufanya mkutano wahadhara nako kuwatawanya wananchi .
Heche kasema kwamba hawajui Lissu Yuko wapi' Na hawajui kwanini kakamatwa Na kusema CCM ndio walioratibu mpango WA kukamatwa Kwa Lisu. Ikumbukwe Lissu alikamatwa siku ya Jana akiwa wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Hofu ni ugonjwa mbaya sana!Watu wenyewe wachache lakini chama tawala Bado kina hofu !
 
Back
Top Bottom