Askari wote wa Tanzania angalieni hii documentary ya Al Jazeera kuelekea Oktoba 29

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Screenshot_20251020_182736_YouTube.jpg

Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina

Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue muda wao wa dakika 49 tu kuangalia hii documentary ili wajifunze namna ya kukataa orders zilizo kinyume na Katiba.

Jambo kubwa zaidi nililojifunza kwenye documentary hii ni kwamba askari wanaweza kumgomea mtawala anapowapa amri za kuua raia wanaodai haki.

Nimependa sana namna Mkuu wa Majeshi wa Bangladesh na wakuu wake wa vikosi vya maji, ardhini na anga walivyomkatalia Kiongozi huyu mwanamama dikteta kuua raia waliokuwa wanaandamana.

JWTZ, TISS na Polisi chukueni notes mkiwa mnasikiliza wimbo mpya wa Roma Mkatoliki kuelekea Oktoba 29.
 
Nimeiangalia, huu uchaguzi wasipousitisha unaweza ukazaa haya.
 
Samia kujificha mwanza na kapanga kutoroka kwa boti kutoka kapripoint kwenda Uganda na kutokomea Oman.

Nipo dodoma Tesha atakiwasha muda wewote
 
Mwaka huu ni mwaka ambao askari wetu wanaoaswa kuandika historia mpya ya Tanzania kwa wino wa moto
Hao askari umeongea nao wapi wakakuthibirishia kuwa watabadili historia? Yaani mnatengeneza scenario kwenye vichwa vyenu kisha kuzitapika JF
 
We omba Mungu wakati tunalikomboa Taifa uwe kwenye ndege umesharuka na familia yako.

Tutahakikisha hizo pesa za Ufisadi ulizotuibia unazitapika.
 
Samia kujificha mwanza na kapanga kutoroka kwa boti kutoka kapripoint kwenda Uganda na kutokomea Oman.

Nipo dodoma Tesha atakiwasha muda wewote
Aondoke tu na familia yake. Wameifisadi sana nchi yetu
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
We omba Mungu wakati tunalikomboa Taifa uwe kwenye ndege umesharuka na familia yako.

Tutahakikisha hizo pesa za Ufisadi ulizotuibia unazitapika.
Wewe unakomboa taifa gani? Mbona hiyo kazi Nyerere alikwisha maliza mwaka 1961?

Hizo bangi mnazovuta zinawapeleka pabaya
 
Wewe unakomboa taifa gani? Mbona hiyo kazi Nyerere alikwisha maliza mwaka 1961?

Hizo bangi mnazovuta zinawapeleka pabaya
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
View attachment 3491206
Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina

Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue muda wao wa dakika 49 tu kuangalia hii documentary ili wajifunze namna ya kukataa orders zilizo kinyume na Katiba.

Jambo kubwa zaidi nililojifunza kwenye documentary hii ni kwamba askari wanaweza kumgomea mtawala anapowapa amri za kuua raia wanaodai haki.

Nimependa sana namna Mkuu wa Majeshi wa Bangladesh na wakuu wake wa vikosi vya maji, ardhini na anga walivyomkatalia Kiongozi huyu mwanamama dikteta kuua raia waliokuwa wanaandamana.

JWTZ, TISS na Polisi chukueni notes mkiwa mnasikiliza wimbo mpya wa Roma Mkatoliki kuelekea Oktoba 29.
Bahati mbaya kwa Tz, rais, ccm, majeshi ni kitu kimoja, na adui wao mkubwa ni WaTz. Wanawaibia, wananyima Fursaa ya huduma Bora, na kuwaua bila huruma Wala kujali Utu wao!
 
Back
Top Bottom