Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kama hawaelewi waseme tuwasaidie kutafsiri.Wanaelewa kingereza sasa? Manake wengi ni 4m 4 failures
JWTZ wasomi wapo wengi sana.Wanaelewa kingereza sasa? Manake wengi ni 4m 4 failures
Mwaka huu ni mwaka ambao askari wetu wanaoaswa kuandika historia mpya ya Tanzania kwa wino wa motoNimeiangalia, huu uchaguzi wasipousitisha unaweza ukazaa haya.
Sio wabishi tu. Wanapenda sana kuendekeza ujinga.
Hao askari umeongea nao wapi wakakuthibirishia kuwa watabadili historia? Yaani mnatengeneza scenario kwenye vichwa vyenu kisha kuzitapika JFMwaka huu ni mwaka ambao askari wetu wanaoaswa kuandika historia mpya ya Tanzania kwa wino wa moto
We omba Mungu wakati tunalikomboa Taifa uwe kwenye ndege umesharuka na familia yako.Hao askari umeongea nao wapi wakakuthibirishia kuwa watabadili historia? Yaani mnatengeneza scenario kwenye vichwa vyenu kisha kuzitapika JF
Ya kweli haya?Samia kujificha mwanza na kapanga kutoroka kwa boti kutoka kapripoint kwenda Uganda na kutokomea Oman.
Nipo dodoma Tesha atakiwasha muda wewote
Pona yake ni kutoroka Tanzania. Hiyo Oktoba 29 )lazima tumuoneshe kuwa wenye nchi ni wananchiYa kweli haya?
Aondoke tu na familia yake. Wameifisadi sana nchi yetuSamia kujificha mwanza na kapanga kutoroka kwa boti kutoka kapripoint kwenda Uganda na kutokomea Oman.
Nipo dodoma Tesha atakiwasha muda wewote
Wewe unakomboa taifa gani? Mbona hiyo kazi Nyerere alikwisha maliza mwaka 1961?We omba Mungu wakati tunalikomboa Taifa uwe kwenye ndege umesharuka na familia yako.
Tutahakikisha hizo pesa za Ufisadi ulizotuibia unazitapika.
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.Wewe unakomboa taifa gani? Mbona hiyo kazi Nyerere alikwisha maliza mwaka 1961?
Hizo bangi mnazovuta zinawapeleka pabaya
Bahati mbaya kwa Tz, rais, ccm, majeshi ni kitu kimoja, na adui wao mkubwa ni WaTz. Wanawaibia, wananyima Fursaa ya huduma Bora, na kuwaua bila huruma Wala kujali Utu wao!View attachment 3491206
Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina
Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue muda wao wa dakika 49 tu kuangalia hii documentary ili wajifunze namna ya kukataa orders zilizo kinyume na Katiba.
Jambo kubwa zaidi nililojifunza kwenye documentary hii ni kwamba askari wanaweza kumgomea mtawala anapowapa amri za kuua raia wanaodai haki.
Nimependa sana namna Mkuu wa Majeshi wa Bangladesh na wakuu wake wa vikosi vya maji, ardhini na anga walivyomkatalia Kiongozi huyu mwanamama dikteta kuua raia waliokuwa wanaandamana.
JWTZ, TISS na Polisi chukueni notes mkiwa mnasikiliza wimbo mpya wa Roma Mkatoliki kuelekea Oktoba 29.