ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

Tulikofikia kwa sasa tuna hali mbaya zaidi ktk suala la "RUSHWA"
 
Mwacheni nae ale urefu wa kamba yake unaruhusu
Ya kusafishia viatu au sio?

Ila sometimes wanakuaga wanasaidia sana kwa hivi vi rushwa vidogo vidogo.

Kuna siku nilikua na gari yangu ya biashara, natokea ubungo naelekea bunju.

Ile nakunja pale mwenge nakuta nyomi la watu wa latra wanakamata magari, na mie nikakamatwa, funguo akaichukua trafiki.

Kucheki deni la latra nadaiwa laki mbili na machenchi nikaona huu msala sasa hapo mfukoni nika 50k.

Hao latra wakawa wanataka kunipeleka yard, kwa bahati nzuri zikaja gari nyingine tatu zote wakazishika hivyo tukawa tuna buy time latra wakiwa wanazikagua zile gari nyingine .

Mie kuona hivyo nikakunja ten chap nikamfuata trafiki, nikamwambia hiyo fine ya laki mbili mie sina cha kulipa & BTW latra wakiondoka na mimi wewe hupati kitu.

Nikamwambia chukua hela hii usijiulize maswali mengi utakua huipati ujue.

Kweli trafiki akaipokea ile hela, akanipa funguo kisha akaniambia, nikakae kwenye gari nitulie, akinionyesha ishara niondoke kwa mwendo wa ndege.

Kweli bhana mie nikatulia, kidogo akaangalia nyuma kisha akanionyesha ishara.

Nikawasha nikaondoka na moto mkali ajabu, halafu akawa anazuga ananiita wewe simama wewe simama, mie masafa.

Latra si wakanifukuzia na noah, kila nikicheki nyuma wanakuja, nikasogea mpaka makongo nikaingia kushoto, moja kwa moja kwenye kota za jeshi, nikaona wamesimama wakaulizana maswali wakaamua kugeuza.
 
Ushukuru Kota za Jeshi zilikuokoa 😂😂
 
BINAFSI HUWA SIPENDI KUTOA RUSHWA MAISHA YANGU YOTE.

-siwapendi kabisa askali polisi.
-Siwapendi kabisa Trafic.
Nawaombea kwa Mungu Awasamehe hawajui walitendalo.
 
Acha usnitch we ni mwanaume. Trafiki anaokoa wanaume wenzake wasipigwe faini ef 30 kwenda juu
 
Ya kusafishia viatu au sio?

Ila sometimes wanakuaga wanasaidia sana kwa hivi vi rushwa vidogo vidogo.

Kuna siku nilikua na gari yangu ya biashara, natokea ubungo naelekea bunju.

Ile nakunja pale mwenge nakuta nyomi la watu wa latra wanakamata magari, na mie nikakamatwa, funguo akaichukua trafiki.

Kucheki deni la latra nadaiwa laki mbili na machenchi nikaona huu msala sasa hapo mfukoni nika 50k.

Hao latra wakawa wanataka kunipeleka yard, kwa bahati nzuri zikaja gari nyingine tatu zote wakazishika hivyo tukawa tuna buy time latra wakiwa wanazikagua zile gari nyingine .

Mie kuona hivyo nikakunja ten chap nikamfuata trafiki, nikamwambia hiyo fine ya laki mbili mie sina cha kulipa & BTW latra wakiondoka na mimi wewe hupati kitu.

Nikamwambia chukua hela hii usijiulize maswali mengi utakua huipati ujue.

Kweli trafiki akaipokea ile hela, akanipa funguo kisha akaniambia, nikakae kwenye gari nitulie, akinionyesha ishara niondoke kwa mwendo wa ndege.

Kweli bhana mie nikatulia, kidogo akaangalia nyuma kisha akanionyesha ishara.

Nikawasha nikaondoka na moto mkali ajabu, halafu akawa anazuga ananiita wewe simama wewe simama, mie masafa.

Latra si wakanifukuzia na noah, kila nikicheki nyuma wanakuja, nikasogea mpaka makongo nikaingia kushoto, moja kwa moja kwenye kota za jeshi, nikaona wamesimama wakaulizana maswali wakaamua kugeuza.
Shangwe na KELELE nyingi KWA traffic palreeeeeeeee
 
Mimi nishaamua trafiki hali hela yamgu kwanza naweza kukaa mwaka mzima bila kufanya kosa la fine sasa nimpe rushwa kosa moja mwaka mzima?NO. Mwezi uliopita nimekamatwa insurance imeisha nimesahau na insurer hakunitumia msg. Askari kajizungusha nikamwambia nimesahau nakata insurance hapa hapa kabla sijaondoka. Kakomaa nakuandikia nikamwambia andika niwachangie mshahara.
 
Back
Top Bottom