ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

Mbezi mwisho sasa hivi kuna foleni sababu bajaj zinachukulia abiria nje zikigoma kuingia ndani stendi ya malamba,ni kosa kisheria ila askari nasikia wanachukua jero tu kwa bajaj ili waweze kupakia nje ya stendi na kusababisha foleni
Kuna wanetu wa CID ila kuna na hawa wanetu wa RS kiukweli nahisi hata boss IGP akikaa pekee yake anachekq sana yaani wao wapo kulifanya jeshi la polisi lionekane ni jeshi la vichekesho .
Sasa wanetu mpaka jero aisee ?😀😀
hao ndiyo wanetu wa RS

Sasa njoo kwa wale CID ni mwendo wa kuwafufua wafu wakatoe ushahidi kwa lissu.😀😀
 
Bajaji na pikipiki zizuiwe mjini

Mpaka sasa zinasababisha sisi watembea kwa miguu tunabet tukiwa tunavuka barabara

Barabara hajulikani ni njia nne au nane.!

Matrafki mjini ni zao la washamba wa vijijini hawajui umuhimu wa Road safety

Bodaboda wengi wametoka mikoani kuja kutafuta fursa mjini na ushamba na kukosa Elimu kupo juu

Tunaomba mamlaka hata kama njaa zinawapeleka puta msivae mwani za mbao kwa yayoendelea

Utendaji wa barabara za Dar asubuhi na jioni zinaakisi upumbavu wetu kwa wageni wanaotutembelea

Kitunguu maji anahusika kwa hili aweke mkazo
 
Kuna wanetu wa CID ila kuna na hawa wanetu wa RS kiukweli nahisi hata boss IGP akikaa pekee yake anachekq sana yaani wao wapo kulifanya jeshi la polisi lionekane ni jeshi la vichekesho .
Sasa wanetu mpaka jero aisee ?😀😀
hao ndiyo wanetu wa RS

Sasa njoo kwa wale CID ni mwendo wa kuwafufua wafu wakatoe ushahidi kwa lissu.😀😀
Bajaj kipato chao kidogo,hapo mwamba 👮 akiunga unga bajaj 10 ana elfu 10,fika pale mzee uone kimaksudi kabisa bajaj anavunja sheria,yan sasa hivi kuna muda kunakua na foleni kuanzia diversion ya kuingia mbezi mwisho kutokea morogoro road pale round about
 
Back
Top Bottom