Kuna wanetu wa CID ila kuna na hawa wanetu wa RS kiukweli nahisi hata boss IGP akikaa pekee yake anachekq sana yaani wao wapo kulifanya jeshi la polisi lionekane ni jeshi la vichekesho .
Sasa wanetu mpaka jero aisee ?๐๐
hao ndiyo wanetu wa RS
Sasa njoo kwa wale CID ni mwendo wa kuwafufua wafu wakatoe ushahidi kwa lissu.๐๐