Asking Aloud: Rais Samia anajua Katiba yetu ni batilifu, na Sheria mpya ya uchaguzi aliyosaini ni sheria batili kinyume cha katiba?

Nakushauri urudi kule FB ndiyo size ako
This logical fallacy is called ad hominem attack.

Umeshindwa hoja, unaleta viroja.

Umeshindwa kujibu hoja, unamtukana mtoa hoja.

Hii ni trick inayotumiwa na watu walioshindwa hoja.

Umekubali kuwa si lazima kila cheo kitajwe kwenye katiba?

Tumalize hilo kwanza.
 
Kuna ofisi ni constitutional offices, rais hawezi kuzifuta at her pleasure, lakini anaweza ku establish any office na mambo yake yote kwa kuitangaza kwenye gazeti la serikali, hata JPM alipofuta sherehe za uhuru, alizifuta kienyeji, tukamsaidia sisi jf, Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'! na Amri ya Rais Kuifuta Siku ya Uhuru Haijataja Usafi!. Jee Usafi ni Amri au ni Ridhaa Tuu?!. amri hii ilitolewa bila a decrees, tulipo iulizia, a decree ikaandikwa, ikawa backdated na kutolewa. Kiukweli jf tunaisaidia sana serikali yetu, thanks God siku hizi serikali inatutambua na Mama anamuita @Maxence "mwanangu Max"
P
 
Maza ni mvivu wa kusoma, anapenda kusifiwa pekee, cheo chochote kisipotajwa kwenye katiba lazima kitajwe kwenye sheria za nchi.
 
Mwishoni pameandikwaje? hivi unaweza kuwa na cheo ambacho hakipo kisheria? maslahi yake yanatangazwa kwenye gazeti pekee halafu wewe ni wakili na unakubali kuishi kwa matamko ya Rais badala ya sheria na katiba? ndiyo maana sijawahi kusikia umeshinda kesi yoyote
 
Asante, itoshe, tuendelee.
P.
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Nisamehe kaka mkubwa.
 
Mkuu Wakili Msomi na Mwandishi Mwandamizi/Nguli P.


Tatizo sio kwamba hajui, ila kwa jadi na mfumo wa utawala, rasimu zote za sheria kabla hazijapelekwa bungeni kujadiliwa na kupitishwa kisha kurejeshwa kwake kuzibariki kutumika, huwa tayari alishapelekewa anazipitia, anajadili na watalaamu wake na kumhakikishia hazina madhara na yeye kupima kama zinalinda maslahi yake binafsi husaini tu.

Sina kumbukumbu vizuri kama kuna raisi Tanzania alishawahi kurejesha sheria bungeni kwa kuigomea kusaini, labda unikumbushe. Yoweri Mseveni alipelekewa sheria inayohusu kuruhusu ushoga na ndoa za jinsia moja alikataa kuisaini na akasimamia msimamo huo hadi leo pamoja na kwamba Marekani utawala uliopita kutishia kumwekea vikwazo!!!

Nami naungana nawe ya kwamba ni kweli ni batili kwa mjibu wa katiba ya nchi iliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…