Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwq hiyo unazipangia media cha kuripoti? Wewe si ndo dikteta sasa?Alafu tunaambiwa awamu hii media zipo huru. Media zote zimekimbia habari ya TEC na aibu kubwa zikatumiwa ka ujumbe ka kihuni kuhusu maaskofu wakapost wote huo ujinga.
Media za Tanzania kwavile mmekuwa mnaendeshwa na kuogopa kutangaza baadhi ya habari, huko mbele msilie mkishughulikiwa. Tutawakumbusha huu usaliti wenu.
Vyombo vya habari Tanzania vimetusaliti! Ipo siku tutawakumbusha haya hadharani hasa nyie wamiliki na wahariri.
Wengine waliandika baada ya maelekezo na kutishwa wakafuta mfano millardayoKwa hiyo kazi ya waandishi ni kulazimishwa kuandika habari?
Weka uthibitisho wa watu hao kutishwaWengine waliandika baada ya maelekezo na kutishwa wakafuta mfano millardayo
Wananchi gani wameupuuza?Waraka wenyewe wananchi wameupuuza wala haujasikilizwa.
Walijengewa msikiti Dodoma na Magufuli michango ilianzia Kanisani. Wanamkubali Magufuli vibaya mnoAcheni mambo ya udini nyie watu.
Jee Masheikh waliwahi kulaani utawala Wa Magufuli?
Kichwa chako kimejaa ma+viWeka uthibitisho wa watu hao kutishwa
Badala yake Kikwete na kuchanganya dini/siasa ndio anasikika kote kwwnye hivyo vyombo.
Ndiyo, wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari kama huu uliotolewa siku ya Jumapili Machi 25, 2018 wakati wa awamu ya tano.Kwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?
Kwa hiyo wapo ki kiki sio?Ndiyo, wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari kama huu ulivyotolewa Machi 25, 2018 wakati wa awamu ya tano.
Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limetoa waraka mzito wa ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka ambao mbali ya kuzungumzia masuala ya kiroho, umetaja changamoto tatu na kuzifikisha kwa waumini wake “ili ziongeze mzigo wa kuliombea taifa letu na viongozi wake.”
Huo ni waraka wa pili kutoka kwa viongozi wa dini baada ya Februari mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kutoa ujumbe wa Kwaresma uliosaniwa na maaskofu 35 uliozungumzia masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Wameeleza kwamba kwa umoja wao na kwa nyakati za hivi sasa kuna matukio yaliyo kinyume na tunu na misingi iliyolilea Taifa inayoshuhudiwa; “Baadhi ya matukio hayo ni hofu iliyojengwa katika matukio halisi yakiwamo utekaji, utesaji, kupotea kwa watu, mashambulizi ya silaha dhidi ya viongozi wa kisiasa, mauaji yenye mwelekeo wa kiitikadi, vitisho, ubambikiziaji wa kesi, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola dhidi ya wananchi.”
Unafahamu Millard Ayo ameripoti habari ya waraka huu akapewa maelekezo afute? Kila kinachoendelea kinafahamika.Kwq hiyo unazipangia media cha kuripoti? Wewe si ndo dikteta sasa?
Tupe ushahidi wa yeye kupewa maelekezo aufuteUnafahamu Millard Ayo ameripoti habari ya waraka huu akapewa maelekezo afute? Kila kinachoendelea kinafahamika.
Huo waraka ni taarifa kwa umma, hawautoi mafichoni.Kwa hiyo wapo ki kiki sio?
Umma gani? Wapi imesemwa waraka wao lazima utangazwe na vyombo vyote vya habari?Huo waraka ni taarifa kwa umma, hawautoi mafichoni.
Wewe nawe Wala huelewi maudhui ya mjadala huu.Tec walitoa tamko baada uhuni WA Jecha? Hivyo genge la TEC NI genge la wahuni tuu kama magenge mengine
Neno "Lazima" unalileta wewe!Umma gani? Wapi imesemwa waraka wao lazima utangazwe na vyombo vyote vya habari?