Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,Wameusoma kwenye makanisa, inatosha...
Mkuu achana nae huyo Punguani!Ana Msongo wa Mawazo maana amesahau kuwa Melo na Mushi ni Wakristo sijui kikinuka atakuwa anapost wapi Huo ujinga wake.Kwani Serikali inalazimishwa kufuata maoni ya hao Maaskofu?
Tamko la TEC NI uchafu UJINGA udini Jamii forums NI chombo chenu kitaachaje kuandika vyombo vya habari vyenye kujua maadili Yao hawawezi andika mambo ya kuwagawa TaifaToka kwa baba Askofu Almachius Vincent Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga
View attachment 2723440
Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi ila hajaripotiwa kwa kuwa huenda umezuiliwa usiripotiwe ili usiwafikie walio wengi, lakini hawakujua nguvu ya mitandao habari husambaa kwa haraka zaidi kuliko mainstreem.
Na nawaasa wakati wa uchaguzi mchague viongozi watakaofaa, uchaguzi uliopita ulikuwa na makosa mengi sasa mchague viongozi wanaoweza kuwatetea na kuongoza vyema, na nyie mtimize wajibu wenu, mnachagua viongozi wanaobadili sheria za nchi ili ziwafae, na mnapewa rushwa na kuchagua viongozi wasiofaa sasa mnaanza kutuuliza sisi tuwasemee kwa nini mnatusukumia sisi,
Sisi tumetimiza wajibu wetu na tuko tayari kufa ndio maana ya nguo nyekundu hizi, tuko tayari kufa kwani tutakuwa tumekufa pamoja na Kristo kwa kutimiza wajibu wetu tatizo litabaki kwenu mtimize wajibu wenu.
====
Mwananchi mmoja aliyemsema ni huyu;
View attachment 2723439
Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kupinga mkataba wa bandari. Ni tamko lililosheheni hekima na uwezo wa juu wa akili. Maaskofu 37 wametia sahihi kupitisha tamko hilo. Tamko limechambua vipengele vyote vyenye kasoro na kuvitolea ufafanuzi.
Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea. Hata online streams ni JamiiForums pekee walioripoti kwa weledi. Wengine either hawajaripoti kabisa au wameripoti kinafiki.
Kwa mfano Mwananchi wameripoti eti TEC YAMUANGUKIA SAMIA. Huu ni uandishi wa kikasuku. Hakuna popote TEC ilipomuangukia Samia wala kumuinamia. Wamekosoa mkataba wa bandari na kutoa mapendekezo yao. Yapo yanayomhusu Samia na yapo yanyohusu bunge. Hakuna aliyeangukiwa.
Lakini kwanini media kubwa (main streams) hazijaipa uzito habari hii? Je haikukidhi vigezo vya kuwa habari kubwa? Jibu ni HAPANA. Habari hii imekidhi vigezo vyote muhimu vya kuifanya iwe habari kubwa kama vile Timeliness, Impact, Proximity, Prominence etc.
Sasa kwanini haijapewa uzito kwenye main streams? Jibu ni kwamba serikali inadaiwa kuzuia main steams zisiripoti. Hata #MillardAyo amepost akalazimishwa kufuta.
"Bichwa kubwa" anaamini kwa kufanya hivyo atazuia waraka huo usisambae. Imagine alivyo na kichwa kikubwa halafu ana akili ndogo hivi? Ni huzuni. Hajui kama waraka umeshasambaa na kila mtu anao. Hajui mitandao ya kijamii inasambaza habari haraka kuliko hizo main streams?
Halafu nyie watu wa media jitafakarini sana. Mnaruhusije "censorship" kwenye vyumba vyenu vya habari? Yani mtu anaamuaje hiki andika na hiki usiandike? Yeye ni nani? Kumbuka moja kati ya makosa makubwa sana kwenye taaluma ya habari ni kuruhusu censorship, especially inayofanywa na serikali maana ni kuua uhuru wenu na kuua taaluma.
Leo mnaelekezwa msiandike habari ya TEC. Kesho mtaambiwa msiandike za BAKWATA. Keshokutwa mtaambiwa msiandike za kwenu hata mkinyanyaswa. Acheni kutumika kama "bazoka" ambayo ikiisha utamu inatemwa. Simanieni taaluma. Ingekua TEC imetoa tamko la kuunga mkono bandari mngeandika kwa mbwembwe sana. Lakini kwa sababu wamepinga mnapotezea kama hamuoni. Acheni Unaa.!
View attachment 2723438
Thibitisha, ukishindwa, futa kauli yako mkuu...hapa JF ni kama bungeni hivi... sio maneno yasiyo na ushahidiTamko la TEC NI uchafu UJINGA udini Jamii forums NI chombo chenu kitaachaje kuandika vyombo vya habari vyenye kujua maadili Yao hawawezi andika mambo ya kuwagawa Taifa
Tec walitoa tamko baada uhuni WA Jecha? Hivyo genge la TEC NI genge la wahuni tuu kama magenge mengineSafi sana.
Vyombo vikubwa vya habari Tanzania vimejawa na unafiki na vinaiogopa sana CCM.
Hata Maalim Seif alipofanyiwa uhuni na JECHA (huko aliko ahukumiwe anavyostahili) hakuna hata chombo kimoja kilichoripoti kadhia Ile.
Wamevishwa nepi. Wanajiendea haja humo humo hakuna anayeona bali tunapata harufu tu.Toka kwa baba Askofu Almachius Vincent Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga
View attachment 2723440
Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi ila hajaripotiwa kwa kuwa huenda umezuiliwa usiripotiwe ili usiwafikie walio wengi, lakini hawakujua nguvu ya mitandao habari husambaa kwa haraka zaidi kuliko mainstreem.
Na nawaasa wakati wa uchaguzi mchague viongozi watakaofaa, uchaguzi uliopita ulikuwa na makosa mengi sasa mchague viongozi wanaoweza kuwatetea na kuongoza vyema, na nyie mtimize wajibu wenu, mnachagua viongozi wanaobadili sheria za nchi ili ziwafae, na mnapewa rushwa na kuchagua viongozi wasiofaa sasa mnaanza kutuuliza sisi tuwasemee kwa nini mnatusukumia sisi,
Sisi tumetimiza wajibu wetu na tuko tayari kufa ndio maana ya nguo nyekundu hizi, tuko tayari kufa kwani tutakuwa tumekufa pamoja na Kristo kwa kutimiza wajibu wetu tatizo litabaki kwenu mtimize wajibu wenu.
====
Mwananchi mmoja aliyemsema ni huyu;
View attachment 2723439
Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kupinga mkataba wa bandari. Ni tamko lililosheheni hekima na uwezo wa juu wa akili. Maaskofu 37 wametia sahihi kupitisha tamko hilo. Tamko limechambua vipengele vyote vyenye kasoro na kuvitolea ufafanuzi.
Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea. Hata online streams ni JamiiForums pekee walioripoti kwa weledi. Wengine either hawajaripoti kabisa au wameripoti kinafiki.
Kwa mfano Mwananchi wameripoti eti TEC YAMUANGUKIA SAMIA. Huu ni uandishi wa kikasuku. Hakuna popote TEC ilipomuangukia Samia wala kumuinamia. Wamekosoa mkataba wa bandari na kutoa mapendekezo yao. Yapo yanayomhusu Samia na yapo yanyohusu bunge. Hakuna aliyeangukiwa.
Lakini kwanini media kubwa (main streams) hazijaipa uzito habari hii? Je haikukidhi vigezo vya kuwa habari kubwa? Jibu ni HAPANA. Habari hii imekidhi vigezo vyote muhimu vya kuifanya iwe habari kubwa kama vile Timeliness, Impact, Proximity, Prominence etc.
Sasa kwanini haijapewa uzito kwenye main streams? Jibu ni kwamba serikali inadaiwa kuzuia main steams zisiripoti. Hata #MillardAyo amepost akalazimishwa kufuta.
"Bichwa kubwa" anaamini kwa kufanya hivyo atazuia waraka huo usisambae. Imagine alivyo na kichwa kikubwa halafu ana akili ndogo hivi? Ni huzuni. Hajui kama waraka umeshasambaa na kila mtu anao. Hajui mitandao ya kijamii inasambaza habari haraka kuliko hizo main streams?
Halafu nyie watu wa media jitafakarini sana. Mnaruhusije "censorship" kwenye vyumba vyenu vya habari? Yani mtu anaamuaje hiki andika na hiki usiandike? Yeye ni nani? Kumbuka moja kati ya makosa makubwa sana kwenye taaluma ya habari ni kuruhusu censorship, especially inayofanywa na serikali maana ni kuua uhuru wenu na kuua taaluma.
Leo mnaelekezwa msiandike habari ya TEC. Kesho mtaambiwa msiandike za BAKWATA.
Keshokutwa mtaambiwa msiandike za kwenu hata mkinyanyaswa. Acheni kutumika kama "bazoka" ambayo ikiisha utamu inatemwa.
Simanieni taaluma. Ingekua TEC imetoa tamko la kuunga mkono bandari mngeandika kwa mbwembwe sana. Lakini kwa sababu wamepinga mnapotezea kama hamuoni. Acheni Unaa.
View attachment 2723438
Bado hatua moja tu uanze kuongea barabarani peke yakoJee uhuni WA Jecha TEC wakitoka tamko? Hivyo wote NI wanafik Tu wanafikiri Kwa matumbo
Mkuu mpaka muda huu umemaliza kreti la Mo Energy. Hulali wala husinziimaana hauamini namna meza ilivyopinduliwa mbele yenuKwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?
Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari?
Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?
Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
Pesa ipi? Unaamini kabisa Serikali itaacha kutekeleza mipango yake ya kimaendeleo kwa sababu ya matamko ya vyombo vya kidini? Utakuwa ni mjinga wa mwisho kabisa hapa dunianiMkuu mpaka muda huu umemaliza kreti la Mo Energy. Hulali wala husinziimaana hauamini namna meza ilivyopinduliwa mbele yenu
Maneno yanapandana wala hujui unaongelea kitu gani.Pesa ipi? Unaamini kabisa Serikali itaacha kutekeleza mipango yake ya kimaendeleo kwa sababu ya matamko ya vyombo vya kidini? Utakuwa ni mjinga wa mwisho kabisa hapa duniani
Una matatizo ya akili ya uelewa. Nini kazi ya waandishinwa habari!Kwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?
Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari?
Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?
Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
Mimi nikiwa mjinga. Basi wewe ni mpumbavu.Maneno yanapandana wala hujui unaongelea kitu gani.
Kalale mkuu, kutetea ujinga haukufanyi uonekane una akili sana
Badala yake Kikwete na kuchanganya dini/siasa ndio anasikika kote kwwnye hivyo vyombo.Nape ndio kainjinia visiisambaze hiyo habari
Kumbe TEC ni tishio
Sawa mkuu.Mimi nikiwa mjinga. Basi wewe ni mpumbavu.
Amini amini nakwambia
Kwa hiyo kazi ya waandishi ni kulazimishwa kuandika habari?Una matatizo ya akili ya uelewa. Nini kazi ya waandishinwa habari!
Si ukalele !