Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kushangaa na kulia kunafanana??Ndo kulia kwenyewe huko sasa
Aisee kumbe ndiyo maana umeshindwa kuelewa Askofu alikusudia nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushangaa na kulia kunafanana??Ndo kulia kwenyewe huko sasa
Mimi naamini ni kulia/ kulalamika.Kushangaa na kulia kunafanana??
Aisee kumbe ndiyo maana umeshindwa kuelewa Askofu alikusudia nini.
Hajalalamika ila angelalamika ndiyo ungesema kuwa analia.Mimi naamini ni kulia/ kulalamika.
Sawa kila mtu aamini kama alivyotafsiriHajalalamika ila angelalamika ndiyo ungesema kuwa analia.
Why don't you hide your stupidity ?Mimi naamini ni kulia/ kulalamika.
Mkuu achana na huyo kanjanja anayejiita mwanasheria nguli ,angekuwa kweli mwanasheria nguli asingeuliza hilo swali,yeye unguli wake ni kuitetea DP World humu 24/7.Kumbe hata kufuatilia wakati Rugemalira kakamatwa ulikuwa hufuatilii.
Google utakuta Hiyo habari.
Mpaka VP ameusikiliza na kuufurahiaWaraka wenyewe wananchi wameupuuza wala haujasikilizwa.
Na nyie mnaposujudu na kubong'oa hadi mnapata sugu kwenye paji za nyuso zenu ndiyo ujanja?We na akili yako timamu umesoma hadi phd, unaeeza pigia magoti cement na kuibusu ? Tunawapiga waabudia masanamu kwa nguvu zote
Hilo ndilo uliloliachaSawa kila mtu aamini kama alivyotafsiri
WameshamalizaToka kwa baba Askofu.
View attachment 2723440
Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi ila hajaripotiwa kwa kuwa huenda umezuiliwa usiripotiwe ili usiwafikie walio wengi, lakini hawakujua nguvu ya mitandao habari husambaa kwa haraka zaidi kuliko mainstreem.
Na nawaasa wakati wa uchaguzi mchague viongozi watakaofaa, uchaguzi uliopita ulikuwa na makosa mengi sasa mchague viongozi wanaoweza kuwatetea na kuongoza vyema, na nyie mtimize wajibu wenu, mnachagua viongozi wanaobadili sheria za nchi ili ziwafae, na mnapewa rushwa na kuchagua viongozi wasiofaa sasa mnaanza kutuuliza sisi tuwasemee kwa nini mnatusukumia sisi,
Sisi tumetimiza wajibu wetu na tuko tayari kufa ndio maana ya nguo nyekundu hizi, tuko tayari kufa kwani tutakuwa tumekufa pamoja na Kristo kwa kutimiza wajibu wetu tatizo litabaki kwenu mtimize wajibu wenu.
====
Mwananchi mmoja aliyemema ni huyu;
View attachment 2723439
Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kupinga mkataba wa bandari. Ni tamko lililosheheni hekima na uwezo wa juu wa akili. Maaskofu 37 wametia sahihi kupitisha tamko hilo. Tamko limechambua vipengele vyote vyenye kasoro na kuvitolea ufafanuzi.
Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea. Hata online streams ni JamiiForums pekee walioripoti kwa weledi. Wengine either hawajaripoti kabisa au wameripoti kinafiki.
Kwa mfano Mwananchi wameripoti eti TEC YAMUANGUKIA SAMIA. Huu ni uandishi wa kikasuku. Hakuna popote TEC ilipomuangukia Samia wala kumuinamia. Wamekosoa mkataba wa bandari na kutoa mapendekezo yao. Yapo yanayomhusu Samia na yapo yanyohusu bunge. Hakuna aliyeangukiwa.
Lakini kwanini media kubwa (main streams) hazijaipa uzito habari hii? Je haikukidhi vigezo vya kuwa habari kubwa? Jibu ni HAPANA. Habari hii imekidhi vigezo vyote muhimu vya kuifanya iwe habari kubwa kama vile Timeliness, Impact, Proximity, Prominence etc.
Sasa kwanini haijapewa uzito kwenye main streams? Jibu ni kwamba serikali inadaiwa kuzuia main steams zisiripoti. Hata #MillardAyo amepost akalazimishwa kufuta.
"Bichwa kubwa" anaamini kwa kufanya hivyo atazuia waraka huo usisambae. Imagine alivyo na kichwa kikubwa halafu ana akili ndogo hivi? Ni huzuni. Hajui kama waraka umeshasambaa na kila mtu anao. Hajui mitandao ya kijamii inasambaza habari haraka kuliko hizo main streams?
Halafu nyie watu wa media jitafakarini sana. Mnaruhusije "censorship" kwenye vyumba vyenu vya habari? Yani mtu anaamuaje hiki andika na hiki usiandike? Yeye ni nani? Kumbuka moja kati ya makosa makubwa sana kwenye taaluma ya habari ni kuruhusu censorship, especially inayofanywa na serikali maana ni kuua uhuru wenu na kuua taaluma.
Leo mnaelekezwa msiandike habari ya TEC. Kesho mtaambiwa msiandike za BAKWATA. Keshokutwa mtaambiwa msiandike za kwenu hata mkinyanyaswa. Acheni kutumika kama "bazoka" ambayo ikiisha utamu inatemwa. Simanieni taaluma. Ingekua TEC imetoa tamko la kuunga mkono bandari mngeandika kwa mbwembwe sana. Lakini kwa sababu wamepinga mnapotezea kama hamuoni. Acheni Unaa.!
View attachment 2723438
Nimeuliza:Jikite kwenye context achana na Typo.