Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Safi sana wateule wa Mungu 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipata gawio lake kivipi? Gawio kutokana na nini? Mbona aliyehusika mmoja wapo alikiri kosa na kulipa faini?Mm binafsi niliona hivyo,labda nitoe kamfano ;pesa yako umeuza kiwanja ukagawa kwa jamaa zako.
Mm niitake pesa hiyo kwa madai yapi kaka.?
Mm nilielewa ilikuwa sehemu ya mtu binafsi aliyepata gawio lake akaamua kugawa kwa watu wake anawajua.
Uchawa unadhalilisha na kutweza utu kabisa. Huo upunguani watanzania wameukataa.Tulia brother, angalia hata upepo unavuma kuekekea wapi, uchawa usikutie aibu kiasi hicho.
Matope wao anahangaika tu Kila sikuChawa wote wamepigwa rungu. Mapambio hayasikiki tena.
Ndo nimeshangaa, walitaka kikiKwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?
Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari? Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?
Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
Tukisema hawa watu wamechanganyikiwa tueleweni jamani🤣🤣🤣Kumbe wanataka kiki?
Yaani maaskofu watake Kiki??Ndo nimeshangaa, walitaka kiki
Sasa kwa nini wanalia vyombo vya habari kutangaza waraka wao?Yaani maaskofu watake Kiki??
Au hujui maana ya kiki?
Huwa sipendi kubishana na wati Wa aina yako, brother kama upo maeneo ya Afrika mashariki ni wakati wa usiku, sio muda utakala, kabla ya kulala embu tafakari , tafakari ukiwa na uhuru wa fikra , alafu ufanye tathmini kisha tukijaliwa kuamka utupe mrejesho.Upepo kivipi? Nyie watu mmechanganyikiwa hakika
We na akili yako timamu umesoma hadi phd, unaeeza pigia magoti cement na kuibusu ? Tunawapiga waabudia masanamu kwa nguvu zoteYaani maaskofu watake Kiki??
Au hujui maana ya kiki?
Nipo China ni alfajir saiviHuwa sipendi kubishana na wati Wa aina yako, brother kama upo maeneo ya Afrika mashariki ni wakati wa usiku, sio muda utakala, kabla ya kulala embu tafakari , tafakari ukiwa na uhuru wa fikra , alafu ufanye tathmini kisha tukijaliwa kuamka utupe mrejesho.
Wapi wamelia??Sasa kwa nini wanalia vyombo vya habari kutangaza waraka wao?
😇😇😇😇😇We na akili yako timamu umesoma hadi phd, unaeeza pigia magoti cement na kuibusu ?
We unajua kulia ni kutoa machozi tu? Kulalamika kuwa vyombo vingine havijatangaza waraka wao ndo kulia kwenyewe sasaWapi wamelia??
Yaani wao wanazungumzia kwa mukhtadha kuwa watakaopinga waraka wao watatangazwa na vyombo hivyo.
Wamezungumza kifalsafa kuwa vyombo vya habari ni waoga hata kupigania maslahi ya nchi.
Ule waraka kwani umeandikwa kuwa watu waruhisiwe kutembea uchi?
Au kuzungumza Bandari ndiyo imeshakuwa dhambi??
Sawa!Nipo China ni alfajir saivi
Hajalalamika bali ameshangaa!!We unajua kulia ni kutoa machozi tu? Kulalamika kuwa vyombo vingine havijatangaza waraka wao ndo kulia kwenyewe sasa
Ndo kulia kwenyewe huko sasaHajalalamika bali ameshangaa!!