Askofu Almachius Rweyongeza: JamiiForums pekee ndio wameripoti Waraka wa TEC mkataba wa DP World kwa Weledi

Askofu Almachius Rweyongeza: JamiiForums pekee ndio wameripoti Waraka wa TEC mkataba wa DP World kwa Weledi

Mm binafsi niliona hivyo,labda nitoe kamfano ;pesa yako umeuza kiwanja ukagawa kwa jamaa zako.
Mm niitake pesa hiyo kwa madai yapi kaka.?

Mm nilielewa ilikuwa sehemu ya mtu binafsi aliyepata gawio lake akaamua kugawa kwa watu wake anawajua.
Alipata gawio lake kivipi? Gawio kutokana na nini? Mbona aliyehusika mmoja wapo alikiri kosa na kulipa faini?
 
Kwa hiyo wanatoa waraka ili utangazwe kwenye vyombo vya habari?

Si walisema usomwe kwenye parokia na jumuiya zao? Sasa mbona mapovu yanawatoka kutaka utangazwe kwenye vyombo vya habari? Wanavipangia vyombo vya habari habari za kutangaza? Kwani ni lazima vyombo vya habari viutangaze huo waraka?

Hawa watu ni kama wamechanganyikiwa wezi wakubwa
Ndo nimeshangaa, walitaka kiki
 
Upepo kivipi? Nyie watu mmechanganyikiwa hakika
Huwa sipendi kubishana na wati Wa aina yako, brother kama upo maeneo ya Afrika mashariki ni wakati wa usiku, sio muda utakala, kabla ya kulala embu tafakari , tafakari ukiwa na uhuru wa fikra , alafu ufanye tathmini kisha tukijaliwa kuamka utupe mrejesho.
 
Nipo China ni alfajir saivi
 
Sasa kwa nini wanalia vyombo vya habari kutangaza waraka wao?
Wapi wamelia??

Yaani wao wanazungumzia kwa mukhtadha kuwa watakaopinga waraka wao watatangazwa na vyombo hivyo.

Wamezungumza kifalsafa kuwa vyombo vya habari ni waoga hata kupigania maslahi ya nchi.

Ule waraka kwani umeandikwa kuwa watu waruhisiwe kutembea uchi?

Au kuzungumza Bandari ndiyo imeshakuwa dhambi??
 
We unajua kulia ni kutoa machozi tu? Kulalamika kuwa vyombo vingine havijatangaza waraka wao ndo kulia kwenyewe sasa
 
Back
Top Bottom