Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

Status
Not open for further replies.
Tatizo la wengi wasiojuwa jinsi ya kumiliki mema ni KUJAA WIVU MWINGI usiokuwa na faida kwao, hujui huyu mtu aliumia kiwango gani mpaka kuja kumiliki Hammer mnachojuwa ni kubwabwaja bila mipaka, kuwa nalo yeye inakupunguzia nini wewe au unagain nini, nini hasa kikufanye mpaka umchunguze mtumishi wa watu, mimi sio pastor na sio muumini wa hapo,lakini naamini pastor wa kweli ana haki ya kumiliki zaidi ya hapo. anatakiwa na ndege yake pia.

KAUZU wewe huwezi kukwepa hiyo red and bold hapo juu, ISSU sio kumiliki, issue ni matumizi mabaya ya sadaka zenu, eti hujui huyu mtu aliumia kiwango gani mpaka kuja kumiliki Hammer wewe!!! kaumia nini zaidi ya kukusanya sadaka zenu? KANAGAO NA ULOZI WAKO
 
Hapa ndipo waswahili huwa mnaniachaga hoi. Sasa, nyie mnadhani askofu ndiyo hataki kuishi maisha ya juu kama walivyo wengine?!
Ni madhehebu machache tu duniani, likiwamo Katoliki ambao wanawataka wachungaji/pastors wao waishi maisha ya kawaida. Na hii ni amri ya kanisa, siyo ya biblia, yaani hakuna sehemu ilipoandikwa kuwa askofu au mchungaji aishi maisha ya taabu huku waumini wao wakitanua!.
Waache watanue bila kujali source ya pesa zao, ili mradi waumini wao wamekubali kutoa mchango yao kuwawezesha waishi hivyo. Afterall, wewe dhehebu si lako, unawashwa nini?

Wewe.... hakuna mtu anayesema askofu/mchungaji anatakiwa awe maskini, we vipi bwana, umetokea wapi wewe? Sisi tunapenda sana Maaskofu wetu wajimudu kimaisha na kuwa na maisha kama ya watu wengine, ila inapotusikitisha ni pale waumini wake wanapokuwa na shida za hali ya juu na bado yeye bila hiana anaendesha gari ambayo mafuta yake tu kwa siku yanaweza kulisha waumini 10 kwa siku 10. Unapoamua kujitoa nafsi yako kumtumikia Mungu basi mtumikie hii ni pamoja na kusaidia watu kimwili pia na sio kutumia sadaka za waumini kujinufaisha bila aibu.
 
Kuna wengi wana uliza kama mimi nasali makanisa hayo, ndiyo, mimi ni prominent religious person wa karibu sana na watu hao wote. Nina uhakika huyo ana makanisa Japan, Korea na China. I mean the one mwenye kanisa la UFUFUO NA UZIMA pale ubungo, na gari ile alipewa zawadi na makanisa ya japan. mimi nasali hapo. njoo pale hata leo, utakuta kuna wajapani wamejaa pale, wengine wamekuja kujifunza uchungaji from him, wengi wanaishi hapa.

Kwa mchungaji mwingine, hasa mwenye hammer nyeupe sijui, naye si tatizo pamoja na kwamba sisali huko, ila ni wenzangu katika Bwana. Hii ni kitu cha kawaida.

Angalia wahubiri kama kina Bonke, Beny Hinn etc, hawa wanamiliki ndege, ma vitu vya thamani, vingine wamepewa tu na washirika wao watumie, na huwezi kuwalazimisha waviuze, wewe unayetaka waviuze ni wivu tu kwa vitu ambavyo haujachangia. kwa kifupi kwetu sisi walokole, tunaamini kuwa, UKIMPOKEA mtumishi wa Mungu kwa kumbariki na kitu chochote, unampokea Mungu, "imeandikwa, atakayempokea yeye niliyemtuma, anipokea mimi, na awayeyote atakaye mpa mtumishi wangu nga kikombe cha maji, atapata thawabu, pia, ampokeaye nabii, atapata thawabu ya nabii". HIVYO, ukimchangia mtumishi wa Mungu kwa chochote, iwe pesa, gari, ndege, nyumba etc lazima utapata thawabu kwa Mungu. HII NI IMANI YETU, hatuhitaji wewe uturidhie kama ni vyema au si vyema, and DON'T EVER QUESTION vile tunavyofanya kwa watumishi wetu, na hatutaki muwajadili watumishi wetu, kwasababu ni sisi tunaowahudumia.

Pia, tangu agano la kale, Mungu aliwaamuri wana wa Israel wawape Walawi fungu la kumbi la kila watakachopata. KWANINI?, Kwasababu walawi hawakupata urithi wa ardhi kule Israel kati ya yale makabila kumi na mawili. Na fungu hili la Kumi, Mungu alisema litakuwa ndio urithi wao walawi AMBAO NI UKOO WA KIKUHANI/KICHUNGAJI.

Hivyo, Wachungaji wa kilokole ni Walawi wetu, kila tunachopata tunatakiwa kutoa fungu la kumi, na linaenda moja kwa moja kwenye account zao. THE BIGGER THE NUMBER OF MEMBERS YOU HAVE, THE BIGGER THE TITHE(TEN PERCENT) WILL BE. Hivyo, kama mchungaji ni mzembe ana wanashirika wachache, atapata fungu chache ambalo hata nunua hata baiskeli, labda tu abarikiwe kwa namna nyingine na washirika. Angalia, Kakobe, Gwajima, Gamanywa, Lwakatale, Efatha, kuna watu zaidi ya elfu ishirini wengine. KUNA NAMNA YA KU APPROPRIATE PESA ZA KANISA, KWA KUFUATA BIBLIA, NA WACHUNGAJI HAO WOTE HAWAJAKOSEA KITU.

KUSEMA KUWA WAUZE ILI PESA WASAIDIE WATU, HUO NI MTAZAMO WAKO. Mungu ndiye anajua namna anavyowasaidia hao unaowaonea huruma. KIKUBWA HAPA NI WIVU TU KWASABABU MNAONA MUNGU AMEWABARIKI. Fumbeni midomo yenu kwa Jina la Yesu, na nawahakikishia, mtavuna mnachopanda kwenye mioyo ya watu hapa, ukimgusa mtu wa Mungu, umemgusa Mungu, ukimdhihaki mtu wa Mungu, umemdhihaki Mungu mwenyewe, ukimshambulia pia unamshambulia Mungu, NA WASHINDANAO NA BWANA WATAPONDWA KABISA, JIANDAENI KUPONDWA KABISA. ASANTE.

I cant believe I am actually reading this!!! I've just realized you dont know God at all, you know nothing about him and so do I, tofauti yetu is I am still searching for him and you, you think you have mastered him already. The only thing you know is what those "thieves" you call them bishops are telling you. They have the ability to scare your mind to hell and you actually buys it. You are so scared to ask questions even though you know it in your heart some of the things they do are completely wrong. But because your mind is already tuned to NEVER question a "mtumishi wa Mungu", you kabisa forget they are humans and they have desires too, be it fornication or corruptions they can also be part of it. You are beyond scared in asking questions to the extent that, kama ukiwa hata na kawazo fulani kichwani kwako kuwa "hee hapa mbona naona kama bishop yuko tofauti kidogo" unapiga magoti haraka na kumwomba Mungu msamaha as if you did something terrible.

God is love and he definitely love people who wants to understand him clearly kwa sababu hapo Mungu atajua hawa watu wamenifuata kikweli maana wamenijua and not acting like you understand him only because your bishop teaches you to. Who is God? Where did he come from? What differences are there from this God and other Gods which other people like Haitian believes? The Bible was written by humans haikushushwa kutoka mbinguni so how far are we that it says the truth? Kama Mungu alikuwa anataka watu wote duniani wamjue kwa nini atumie njia ngumu kama Biblia ambayo most people hawailewi hasa kitabu cha agano la kale? Kwa nini asingeandika lugha rahisi ili watu wote hata wapagani waelewe kilichoandikwa? These are some of the many questions most people who love God ask themselves everyday kwa sababu wanataka kumuelewa wanayemuabudu na hiyo haiwafanyi wawe wenye dhambi kama nyie mnavyodhani. Sasa kama mtu anaweza kuwa na maswali kama hayo kwa Mungu why not your bishop ambaye obviously vitu anavyofanya ni kabisa kinyume na anachohubiri?

Ni watu wangapi wana hammer hapa dar? kwa nini watu wamuonee wivu huyo askofu wako peke yake? mbona hawajawasema watu wengine wanaomiliki magari kama hayo? Ni kwa sababu its unbelievable for a bishop to drive such an expensive car from the money he gets from people who are hungry, poor and with no shelter ambao yeye anawaita waumini wake. Huwezi kuelewa kitu chochote kama una njaa na ndio maana hata Yesu aliligundua hilo na akalisha umati uliokuwa unamsikiliza tangu asubuhi. Unathubutu kusema fungu la kumi mnapeleka STRAIGHT kwenye account ya askofu wako, do you know how rich your bishop must be? How about 30% ya watu wote hapo kanisani wakiweka kwenye account ya askofu na 70% ikasaidia watu mbalimbali kama watu waliovunjika uti wa mgongo wanaotembea kwenye wheelchair maisha yao yote? Mkawajengea vyoo ambavyo vitaendana na ulemavu wao? Ni watu wangapi mnakutana nao njiani wakitembea na MIKONO kwa sababu ya ulemavu walionao wakati nyie mkielekea benki kudeposit hela kwenye account ya huyo askofu? Na vipi kuhusu kusomesha baadhi ya watoto ambao wanakuja kuombewa na huyo askofu wenu HAPOHAPO kanisani kwenu ili wapate wafadhili wa kuwasomesha? Je hilo halitakuwa fungu la kumi?

The truth is, wachungaji wenu wanajua jinsi ya kucheza na ubongo wenu kwa kuwaogopesha kuwa “usipomtolea Mungu kanisani ili kumsaidia mtumishi hata kile kidogo ulichonacho Mungu atakunyang’anya”. Hiyo inawafanya muogope kupita kiasi. Mungu anawaona ni wanafiki wakubwa, maana mnatoa basi tu kwa sababu askofu wenu kasema mtoe na sio kwa sababu mnaona mnapaswa kutoa maana kama si hivyo, sidhani kama ungeshidwa kuwaza “ok, huyu askofu tayari ana watu wengi wanaomwekea hela kwenye account, let me do something else with my 10% like helping a widow with HIV”. But you cant, maana askofu wako kasema make sure at the end of every month unamtolea bwana ili “mtumishi wa bwana” aweze kuhubiri Injili duniani kote na hiyo inawafanya mnakuwa wabinafsi kwa Mungu.
 
You have said well especially about tithing; I too am a co-pastor,
 
acheni hizo kama tumekosa post bora tujiunge na vibaka mitaani , hiyo ni post ya kukosa uelewa juu ya nini umekiona nani kakwambia kanunua kwa sadaka za waumini? kwanza tambua kuwa kiujumla waumini wa kikristo siyo Maamuma + Imamu= Tawile, hao ni watu wenye uwezo mkubwa na upeo mkubwa wa kufikiri si kama wewe, kitu kama hicho na wewe ukaona bonge la post? ume aprove failure katika hili on thinking
jaribu kuruhusu serikaliya kichwa chako ikae chini na kutafakari kisha toa post yenye maana si kama hii, sasa ukipata wajinga ama watu wenye uwezo mdogo kupembua mambo kama wewe basi hapo mtazalisha uozo, imendikwa 'mpumbavu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya,,,, bali kwa mke wa mtu hupoteza uhai wakea'
sasa we umetumia muda mwingi kuandaa post kama hii huna tofauti aliyepoteza kipande cha mkate kwa malaya... badili maarifa.
 
Wewe.... hakuna mtu anayesema askofu/mchungaji anatakiwa awe maskini, we vipi bwana, umetokea wapi wewe? Sisi tunapenda sana Maaskofu wetu wajimudu kimaisha na kuwa na maisha kama ya watu wengine, ila inapotusikitisha ni pale waumini wake wanapokuwa na shida za hali ya juu na bado yeye bila hiana anaendesha gari ambayo mafuta yake tu kwa siku yanaweza kulisha waumini 10 kwa siku 10. Unapoamua kujitoa nafsi yako kumtumikia Mungu basi mtumikie hii ni pamoja na kusaidia watu kimwili pia na sio kutumia sadaka za waumini kujinufaisha bila aibu.

Nasisitiza kuwa Watanzania hapo ndipo ujinga wetu unapoonekana. Bado nakushangaa wewe na waliokupa shavu. Kama muumini kaleta sadaka, unategemea askofu/mchungaji aikatae au akurudishie na akufundishe namna ya kuishi maisha mazuri kwa kuwa wewe ni maskini!? Mbona madhehebu kibao wauminu wangeshakuwa matajiri kwa mtizamo wako!

Issue hapa ni kwamba, kama wewe muumini unaamini kuwa imani yako ni kutoa sadaka, uhitaji kufuatilia sadaka inakokwenda. kama askofu anakula hiyo sadaka na wewe unaamini hivyo, mwache ale tu. Njia rahisi ya kupinga ni kuachana na hiyo imani au kwenda dhehebu unaloamini kuwa sadaka yako hailiwi au inatumika vema. Hii na sawa na issue ya DECI. Wajinga wengi waliliwa kwa kuamini kuwa watatengeneza pesa kibao kwa kutoa pesa kidogo. Waumini nao wanaamini kuwa wakitoa sadaka watapata neema zaidi, bila kujali sadaka inakwenda wapi. Who knows, sadaka huwa zinakwenda wapi? Kwa Mungu? Na nani ana-monitor?

Kalaga bao na u-myopic wako.
 
I cant believe I am actually reading this!!! I've just realized you dont know God at all, you know nothing about him and so do I, tofauti yetu is I am still searching for him and you, you think you have mastered him already. The only thing you know is what those "thieves" you call them bishops are telling you. They have the ability to scare your mind to hell and you actually buys it. You are so scared to ask questions even though you know it in your heart some of the things they do are completely wrong. But because your mind is already tuned to NEVER question a "mtumishi wa Mungu", you kabisa forget they are humans and they have desires too, be it fornication or corruptions they can also be part of it. You are beyond scared in asking questions to the extent that, kama ukiwa hata na kawazo fulani kichwani kwako kuwa "hee hapa mbona naona kama bishop yuko tofauti kidogo" unapiga magoti haraka na kumwomba Mungu msamaha as if you did something terrible.

God is love and he definitely love people who wants to understand him clearly kwa sababu hapo Mungu atajua hawa watu wamenifuata kikweli maana wamenijua and not acting like you understand him only because your bishop teaches you to. Who is God? Where did he come from? What differences are there from this God and other Gods which other people like Haitian believes? The Bible was written by humans haikushushwa kutoka mbinguni so how far are we that it says the truth? Kama Mungu alikuwa anataka watu wote duniani wamjue kwa nini atumie njia ngumu kama Biblia ambayo most people hawailewi hasa kitabu cha agano la kale? Kwa nini asingeandika lugha rahisi ili watu wote hata wapagani waelewe kilichoandikwa? These are some of the many questions most people who love God ask themselves everyday kwa sababu wanataka kumuelewa wanayemuabudu na hiyo haiwafanyi wawe wenye dhambi kama nyie mnavyodhani. Sasa kama mtu anaweza kuwa na maswali kama hayo kwa Mungu why not your bishop ambaye obviously vitu anavyofanya ni kabisa kinyume na anachohubiri?

Ni watu wangapi wana hammer hapa dar? kwa nini watu wamuonee wivu huyo askofu wako peke yake? mbona hawajawasema watu wengine wanaomiliki magari kama hayo? Ni kwa sababu its unbelievable for a bishop to drive such an expensive car from the money he gets from people who are hungry, poor and with no shelter ambao yeye anawaita waumini wake. Huwezi kuelewa kitu chochote kama una njaa na ndio maana hata Yesu aliligundua hilo na akalisha umati uliokuwa unamsikiliza tangu asubuhi. Unathubutu kusema fungu la kumi mnapeleka STRAIGHT kwenye account ya askofu wako, do you know how rich your bishop must be? How about 30% ya watu wote hapo kanisani wakiweka kwenye account ya askofu na 70% ikasaidia watu mbalimbali kama watu waliovunjika uti wa mgongo wanaotembea kwenye wheelchair maisha yao yote? Mkawajengea vyoo ambavyo vitaendana na ulemavu wao? Ni watu wangapi mnakutana nao njiani wakitembea na MIKONO kwa sababu ya ulemavu walionao wakati nyie mkielekea benki kudeposit hela kwenye account ya huyo askofu? Na vipi kuhusu kusomesha baadhi ya watoto ambao wanakuja kuombewa na huyo askofu wenu HAPOHAPO kanisani kwenu ili wapate wafadhili wa kuwasomesha? Je hilo halitakuwa fungu la kumi?

The truth is, wachungaji wenu wanajua jinsi ya kucheza na ubongo wenu kwa kuwaogopesha kuwa “usipomtolea Mungu kanisani ili kumsaidia mtumishi hata kile kidogo ulichonacho Mungu atakunyang’anya”. Hiyo inawafanya muogope kupita kiasi. Mungu anawaona ni wanafiki wakubwa, maana mnatoa basi tu kwa sababu askofu wenu kasema mtoe na sio kwa sababu mnaona mnapaswa kutoa maana kama si hivyo, sidhani kama ungeshidwa kuwaza “ok, huyu askofu tayari ana watu wengi wanaomwekea hela kwenye account, let me do something else with my 10% like helping a widow with HIV”. But you cant, maana askofu wako kasema make sure at the end of every month unamtolea bwana ili “mtumishi wa bwana” aweze kuhubiri Injili duniani kote na hiyo inawafanya mnakuwa wabinafsi kwa Mungu.
Mahia, Nashangaa kwamba watu wengi wanasema kuhusu hiyo hammer! Na sishangai pia kuona wengi wanamshambulia askofu huyo bila sababu. Maana Kwa wale tunaosoma maandiko najua adui yuko kazini na sioni ajabu.

Utashangaa kwamba kila anayechangia anajifanya kwamba gari hiyo ingechangia huduma nyingine za kijamii. Lakini tunajua kazi hiyo si ya mchungaji pekee bali ya kila mtu katika nchi yetu hii. Kwa nini watu wengine hawachangii mpaka mchungaji ndio akachangie bado ni swali ambalo naona halina jibu. Na ni nani ana hakika hachangii huduma za kijamii hapa jf? wanaojaribu kuhalarisha hoja zao wanahitaji waone jengo la kiajabu ajabu wakidhani Mungu amesema lazima jengo liwe la thamani ndipo atakuja humo. No Mungu hata chini ya mwembe anatokeza provided umemkaribisha.

Watu wengi hapa jf tuna magari na wengine wana magari pia ambayo ni ghali sana na hawafikiri kuuza ili wakasaidie hizo huduma za kijamii lakini wanafikiri habari ya huyo mchungaji ambaye hana kosa lolote.

Huu ni unafiki. Toka lini tunaanza kufikiria huduma za kijamii tunapoona vitu vya watu wengine? Wangapi hapa hawana magari mazuri hivyo lakini wana nyumba za kifahari zilizo na thamani kuliko hilo gari? Basi tuseme watu wote kwa kuwa tunaona tuchangie huduma za kijamii basi tujenge kila mtanzania nyumba ya vyumba vitatu na nyumba isizidi thamani ya 2 millioni ili zile zingine za ziada tuchangie huduma za kijamii uh!
Utaona wivu na unafiki umetawala katika mjadala huu.

Napenda na nitachangia huduma za kijamii, na nitapenda pia viongozi wangu wa kidini waishi maisha mazuri wakati nao wakitumika katika huduma hizo hizo za kijamii. Nimelifanya hili kwa miaka mingi na sijapungukiwa lolote.

Ninao rafiki zangu wengi ambao pesa yao inakwenda Breweries na TCC na hawachangii kwenye hizo huduma and no body talks about that. Mtu ambaye is innocent ndiye anakuwa attacked bila sababu za msingi.

Mtavuna matunda ya midomo yenu. Shauri yenu. Jambo usilolielewa vizuri usilichangie! believe me or not kuna laana hapo wala si vitisho. Just wait and see!
 
Mchukia fisadi, read and understand what I wrote first before commenting. The problem is unakurupuka na mwishowe unaunderline what I just said. "UOGA" mna uoga sana na mnadhani mtalaanika kwa kuquestion.

Trust me, I will wait and wait and wait and nothing will happen na nyie mtaendelea kutoa na kutoa na kutoa and nothing will happen except making your bishop richer and richer. Sijali kama kuna mtu ataamua kuchukua mshahara wake wa mwezi na kupeleka breweries, maana amefanya kazi na akalipwa na sio kukusanya sadaka. Unapoamua kuwa Askofu, unakuwa kioo cha jamii na unamrepresent Jesus kwa kufundisha watu hivyo kuna sacrifices which you will have to make in order to be a teacher fully. I am not saying watumishi wa Mungu wanatakiwa wawe maskini, no, thats not what I am saying at all, na ndio maana nikasema apewe certain percent.

wanaojaribu kuhalarisha hoja zao wanahitaji waone jengo la kiajabu ajabu wakidhani Mungu amesema lazima jengo liwe la thamani ndipo atakuja humo. No Mungu hata chini ya mwembe anatokeza provided umemkaribisha.

No body said the statement above, you said it yourself, and it has nothing to do with the topic. Ila nimegundua ni vigumu sana kueleweshana na mtu ambaye anajidai anajua wakati hajui na mbaya zaidi hataki kujua maana hataki jipya akidhani anayoyajua yamemtosha. Nitaishia kurudia statements all the time.
 
kauzu wewe huwezi kukwepa hiyo red and bold hapo juu, issu sio kumiliki, issue ni matumizi mabaya ya sadaka zenu, eti hujui huyu mtu aliumia kiwango gani mpaka kuja kumiliki hammer wewe!!! Kaumia nini zaidi ya kukusanya sadaka zenu? Kanagao na ulozi wako

kauzu ni wewe kandambili usiejua neno la mungu
wapi umeona hilo gari kanunulia sadaka za kanisani
hujioni ni kauzumadda;wewe umeombwa kutoa sadaka kwenye hilo kanisa hujioni n kauzu zaidi,
usikimbilie kujibu mada ili mradi uonekane na kimada wako umeandika jf;jirekebishe
 
Hii sio sehemu ya jisafishia jina
open ur eyes
 
Kuna mchungaji mmoja ana kanisa lake Mbagala, halafu huwa anakuja kunywa bia Brake Point Kijitonyama ili waumini wake wasimuone! Amkeni jamani, don't be brainwashed. Muwe mnatumia na akili zetu vizuri wakati mwingine, msipelekwe pelekwe tu!

masaki hii sio soln
unatakiwa utafute njia hata kumpiga picha upeleke kwa waumini wake wasipotee;might b possible sio wasemwao bwanabwana watakaouona ufalme wa mungu;tofauti na hawa mazezeta wanaodai HAMMER IMENNULIWA NA SADAKA ;SIJUI ZA BABA ZAO WALIPELEKA KANISANI;ANYWAY,HAWANA USHAHIDI NAUTUMBO WANAOANDIKA
 
kuoi hapo nimekwambia kwa wale walio oa.. hawakuwarudia wake zao.. kuna sehemu bibblia inaonesha petro alimrudia mke wake... wewe kanisa lako chimbuko lake ni wapi???
Labda mwenzangu unatumia biblia tofauti na ya kwangu, labda ningeomba unisaidie Reference ya hayo uliyoyasema, ila najua tatizo kubwa la Wakristo ni kutopenda kusoma Biblia.
 
Kwa nini kuna kuzunguka kwingi na wala kweli haiithaminiwi. Watu wanapenda sana maisha haya ya duniani, watatumia kila namna ya ulaghai ili kujilimbikizia ukwasi. Haitajalisha sana kuona watu wa kidunia wakifanya hivyo. Lakini inashangaza sana kuona watu wa kiroho wakifanya hivyo. Kwanza wanamhubiri Mungu ambae hawataki kumwamini kwamba ana uwezo wa kuwapa mkate wao wa kila siku pindi wanapouhitaji na hilo limewapelelea kuusaka utajiri ktk njia za aibu. Kiongozi muadilifu hupigana kufa kuyatengeneza mazingara ya wale anaowaongoza ili kuwe na fursa sawa ya kuyashiriki mapato na kuondo tofauti kubwa ya kimapato baina ya mmoja kwa mwingine. Kiongozi asiye mwadilifu anachekelea kuwa mfalme mwenye kumiliki utajiri wa kkutisha katikati ya lundo la mafakiri wengi waliomzunguka. Jambo hili limepelekea makanisa mengi kuwa na mtizamo kwamba utajiri ni ushahidi juu ya mtu kukubalika na Roho mtakatifu. Huu ni uongo wa shetani na hasa inapotukia kile mnachoita utajiri ni pesa mlizozichukua kijinai kwa hao masikini wengi. Hebu nionyesheni mtu mmoja ktk kanisa la agano jipya aliyesifiwa kwa utajiri wake au aliyejivunia utajiri wa vitu. Kama kuna kitu kilichoiharibu imani ya kanisa kwa wakati wetu ni huu wehu wa watu kuwa njaa na kiu ya utajiri wa vitu mfano wa mbwa anavyoipenda damu. KUNGALIKO TUMAINI HATA SASA, IREJELEENI HAKI YA BWANA MUNGU WENU.
 
jamani hao ndio viongozi wetu wa dini.mungu awasamehe sana hawa watu
 
Mchukia fisadi, read and understand what I wrote first before commenting. The problem is unakurupuka na mwishowe unaunderline what I just said. "UOGA" mna uoga sana na mnadhani mtalaanika kwa kuquestion.

Trust me, I will wait and wait and wait and nothing will happen na nyie mtaendelea kutoa na kutoa na kutoa and nothing will happen except making your bishop richer and richer. Sijali kama kuna mtu ataamua kuchukua mshahara wake wa mwezi na kupeleka breweries, maana amefanya kazi na akalipwa na sio kukusanya sadaka. Unapoamua kuwa Askofu, unakuwa kioo cha jamii na unamrepresent Jesus kwa kufundisha watu hivyo kuna sacrifices which you will have to make in order to be a teacher fully. I am not saying watumishi wa Mungu wanatakiwa wawe maskini, no, thats not what I am saying at all, na ndio maana nikasema apewe certain percent.

No body said the statement above, you said it yourself, and it has nothing to do with the topic. Ila nimegundua ni vigumu sana kueleweshana na mtu ambaye anajidai anajua wakati hajui na mbaya zaidi hataki kujua maana hataki jipya akidhani anayoyajua yamemtosha. Nitaishia kurudia statements all the time.
Well, inatosha. Ninajua ninachojua na ninaamini ninachojua ndio sahihi na sitaki nijue unachojua kama wewe unadhani unachojua ndio sahihi. Lets wait and see. Kama nothing will happen. God has mecy and is good even to peope of your type thats why Jesus came.
 
No body said the statement above, you said it yourself, and it has nothing to do with the topic. Ila nimegundua ni vigumu sana kueleweshana na mtu ambaye anajidai anajua wakati hajui na mbaya zaidi hataki kujua maana hataki jipya akidhani anayoyajua yamemtosha. Nitaishia kurudia statements all the time.

Mahia, mie huwa sipendi kutumia lugha kama yako lakini nadhani niazime lugha yako kwamba wewe ndiye umekurupuka na kudandia jambo hili kati kati ya safari.
Soma hoja zote tangu thread hii inaanza na utaona mwenyewe kama nililoandika halipo. Shida ni kwamba wewe ulianzia mjadala kati kati ya safari na ukadhani yanayoandikwa sasa haya relate na yaliyopita. Fanya homework yako mkuu.

Na uwe na amani tu. Fanya kile unachodhani kitakusaidia si lazima mawazo yangu uyakubali maana hata Mungu halazimishi watu wamkubali sasa mimi nitakulazimishaje kukubali kweli ya Mungu? Ni vigumu.

Tena basi ku question nani amesema ni vibaya? ubaya unakuja pale unapo question na jibu tayari unalo mkononi. Mimi nafuata what the bible says regardless amesema Katekista, brother, sister, mchungaji, father, kadinali, au Askofu mkuu na mdogo!. Wewe una reason kwa akili ya kichwa chako kwa jinsi unavyoona iwe na hapo ndipo tuna differ.
 
Kwa nini kuna kuzunguka kwingi na wala kweli haiithaminiwi. Watu wanapenda sana maisha haya ya duniani, watatumia kila namna ya ulaghai ili kujilimbikizia ukwasi. Haitajalisha sana kuona watu wa kidunia wakifanya hivyo. Lakini inashangaza sana kuona watu wa kiroho wakifanya hivyo. Kwanza wanamhubiri Mungu ambae hawataki kumwamini kwamba ana uwezo wa kuwapa mkate wao wa kila siku pindi wanapouhitaji na hilo limewapelelea kuusaka utajiri ktk njia za aibu. Kiongozi muadilifu hupigana kufa kuyatengeneza mazingara ya wale anaowaongoza ili kuwe na fursa sawa ya kuyashiriki mapato na kuondo tofauti kubwa ya kimapato baina ya mmoja kwa mwingine. Kiongozi asiye mwadilifu anachekelea kuwa mfalme mwenye kumiliki utajiri wa kkutisha katikati ya lundo la mafakiri wengi waliomzunguka. Jambo hili limepelekea makanisa mengi kuwa na mtizamo kwamba utajiri ni ushahidi juu ya mtu kukubalika na Roho mtakatifu. Huu ni uongo wa shetani na hasa inapotukia kile mnachoita utajiri ni pesa mlizozichukua kijinai kwa hao masikini wengi. Hebu nionyesheni mtu mmoja ktk kanisa la agano jipya aliyesifiwa kwa utajiri wake au aliyejivunia utajiri wa vitu. Kama kuna kitu kilichoiharibu imani ya kanisa kwa wakati wetu ni huu wehu wa watu kuwa njaa na kiu ya utajiri wa vitu mfano wa mbwa anavyoipenda damu. KUNGALIKO TUMAINI HATA SASA, IREJELEENI HAKI YA BWANA MUNGU WENU.

Lete proof kwamba hayo mazingira aliyotengeneza hayajaleta fursa sawa. Na eleza mazingira yanatengenezwaje?
Je ukikuta na washirika wake wako juu kuliko kuliko wewe utasemaje?
Jamani jamani acheni hizo!
 
Sitaki kujiingiza katika mtego wa mtu aliye amua kumtetea Askofu kuliko kuitetea kweli ya Yesu. Hata nikikupa ushahidi utaukubali?? Kuna jirani yangu mchaga wa rombo ameniomba nauli ya kuhudhuria massomo ya katikati ya wiki hapo ufufuo na nimemsaidia kama mara nne. Yeye anatokea magomeni kagera. Sasa wewe hukumu mwenyewe kuomba nauli kuhudhuria mafundisho ya bilionea wapi na wapi.
 
Hao maaskofu wangehojiwa pengine ni misaada wanapata.Mwandishi wa habari alipaswa kufanya utafiti wa kutosha ikiwa ni pamoja na kufahamu connection ya zaka na imani za watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom