Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

Huyu askofu nilishasema atakuja afe kifo cha maumivu makari saaana!

Chuki ni ugonjwa ambao hauna dawa! Nakifo chake huwa ni kifo cha maumivu makari sana.
 
Hivyo anavyovisema ni sababu ye ni muongoza ibada na sio kiongozi wa imani na mueneza injili. Viongozi wa imani huishi kwa imani zaidi. Huzunguzuka mijini na vijijini, wakipigwa na jua na mvua. Popote hulala na kuamka na kuendelea na kueneza injili. Imani yao ni kwa Mungu.
Hapa akubali tu kuwa Magufuli kampiga bao kiimani. Ye aendelee tu kuchanganya mafuta na maji.Neno linasema yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana.
Hata Yohana mbatizaji aliishi kwa kula nzige akieneza neno.
Hata Yesu alilala porini na kukosa chakula sababu aliamini Mungu atamlinda.
 
Back
Top Bottom