mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nakushukuru baba mchungaji kwa kutokuvaa barakoa-Mkuu.Sasa huyo askofu wako alifunga makanisa na sasa anafungua, je corona imeisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushukuru baba mchungaji kwa kutokuvaa barakoa-Mkuu.Sasa huyo askofu wako alifunga makanisa na sasa anafungua, je corona imeisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mjinga!Wale akina nabii tito wanafanya ni? Au sababu mungu wenu kapigwa za uso? Tumia akili kufikiri hayo matako tumia kukalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Ndio huduma hiyo anafanya, kutujaza maarifa na uchuaji kwa pamoja. Au ulifikiri huduma yake ni pedicure?Bishop, fanya huduma acha siasa.....over
Mimi nawajua maaskofu wenye phd na wale wanaojiita wasomi kiimani ni sifuri tena hapo utakuta amejaa mahirizi lukuki!Bagonza ni Mtumishi Wa Mwilini tu ndio maana anahangaika Mwilini.
Watumishi walio katika roho na wanaomjua Mungu walishapata maono ya maombi katika kipindi hiki, na kwa kuwa Mungu hajawahi kuwa mdogo Corona haiwezi kuwa kubwa kuliko Mungu, kama yeye ana Imani haba awaachie wenye Iimani wamtafute Mungu.
Katika Mungu kuishi ni Kristo na kufa ni Faida, Yeye anaogopa nini? Mpaka afunge Kanisa?
Hana Mungu? Hana Mungu? Hana Mungu?
Mungu ni utatu mtakatifu Baba,Mwana na Roho mtakatifu.
Mtafuteni Mungu kwanza na sio PhD mengine mtazidishiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe shida yako ni kuwa huna kazi?Nadhani hujafikiri sawasawa,wewe ni kati ya wale wa ndiyo baba.Panda,ndiyo baba, shuka,ndiyo baba kaa,ndiyo baba,simama,ndiyo baba.ili tu tumbo lako lijae.Hujaelewa hata chembe ya pointi yoyote aliyoitoa Dr.Unataka tuchape kazi ipi,uliyotupa wewe,unayetulipa wewe.Wapendwa,pelekeni watoto shule wasome,waweze kupambanua mambo.
Kwahiyo huyo askofu wenu kamfatisha huyo Mkuu?Nakushukuru baba mchungaji kwa kutokuvaa barakoa-Mkuu.
Hatuwezi kuishi kwa kutegemea matambara usoni-Mkuu.
Nisaidie kumuuliza Bagonza, je anafungua makanisa corona imeisha?Hatuwezi kuishi kwa kutegemea matambara usoni-Mkuu.
Tumenyimwa haki yetu ya kusali msipofungua makanisa tutayachoma moto,hahah maigizo ya kaole sanaa group bana.Nisaidie kumuuliza Bagonza, je anafungua makanisa corona imeisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa chako kimejaa mbege asubuhi yote hii!Tumenyimwa haki yetu ya kusali msipofungua makanisa tutayachoma moto,hahah maigizo ya kaole sanaa group bana.
Hahah waulize wao kama kweli wanaamini Mungu yupo ni kwanini wao wana ulinzi wa kufuru?kwanini wasimuachie Mungu tu awalinde?Kichwa chako kimejaa mbege asubuhi yote hii!
Mpe pole Bagonza kiki yake ya kufunga makanisa imebuma kama ile ya chadema kujifungia karantini alafu wakaishia kuvurugana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hayo ndio kasema Bagonza basi nahitimisha kwa kusema, aachane na huo uaskofu.Hahah waulize wao kama kweli wanaamini Mungu yupo ni kwanini wao wana ulinzi wa kufuru?kwanini wasimuachie Mungu tu awalinde?
Kwa sababu wanajua Mungu aliwapa akili wazitumie-Bagonza the great.
Hahah anakwambia unamuona Simba anakuja kwako kwa kasi badala ya kukimbilia juu ya mti na kumuomba Mungu ukiwa ukiwa juu ya mti wewe unasimama huku ukisali kisa eti Mungu yupo nakuhakikishia utaliwa tu hahahKama hayo ndio kasema Bagonza basi nahitimisha kwa kusema, aachane na huo uaskofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mathayo 3:9Kumuamini Mungu ndo ujitie hatarini atakuokoa?
Usimjaribu BWANA Mungu wako
Hivi
Huyu askofu ni Mtanzania? Na je,mbona kanisa lote la KKKT yeye tu ndio ana maneno ya shobo hivyo? Wakubwa wake hawamwoni? Rais Na information nyingi kuliko yeye anayelala church hivyo kuna baadhi ya mambo anaweza kufanya akiwa anaijua siri yeye tu, sio kila kitu yapasa kumpinga.
wewe POYOYO, kabla hujamuuliza hayo maswali BAGONZA jiulize haya maswali?Askofu wangu katika hili kubali tu ulimkaribisha shetani
Sasa unafungua makanisa corona imeisha?
Na ungejifungia hadi lini ?
Na jiuilize kwa nini maakofu wengine hawakufunga makanisa yao?
Je wewe ndiyo una akili zaidi kuliko maaskofu wote kwenye balaza la maaskofu?
Mtu mzima ukivuliwa nguo.chutama
Katika hili kubali imani yako imekuwa haba
Ukichagua ukweli utaonekana msaliti na unatumika na mabeberua Askofu Bagonza
AKILI na IMANI
Hivi kipi kinaanza? Kipi kinawezesha kingine? Imani ndiyo inakuongoza kuwa na akili au akili inakuongoza kuwa na imani na kuitegemea?
Wanaopuuza umuhimu wa kutumia akili, wawaulize wazazi ambao kwa bahati mbaya wana watoto au jamaa waliopungukiwa na akili, kwa kuzaliwa au kupata tatizo hilo ukubwani. Zawadi kubwa, ya pekee na ya thamani aliyotupa Mungu ni akili. Tunaitumia kutambua na kufanya maamuzi. Hata imani tunayoienzi na kumwamini muumba wetu, tunawezeshwa na akili aliyotupa muumba huyo huyo.
Ndiyo maana pamoja na kwamba Mungu yupo:
1. Tunajenga Nyumba na kulala ndani yake, hatulali nje ili Mungu atulinde.
2. Tunajenga uzio mkubwa kuzunguka Nyumba, hatuaiachi nyumba ili Mungu atulinde.
3. Tunafuga Mbwa wakali, licha ya kuwa na Uzio.
4. Tunaajiri walinzi wenye silaha, kana kwamba uzio na mbwa havitoshi.
5. Tunaweka na CCTV kamera licha ya kuwa tuna walinzi, uzio na mbwa wakali.
6. Tunanunua na bima kubwa kuonyesha kuwa wizi bado upo licha ya kuwa tuna yote hayo.
7. Usiku tunaamka mara tatu-tatu kuona kama walinzi wapo. Tunaajiri walinzi na wao wanatuajiri kuwachunga usiku.
Pamoja na yote hayo, Mungu aweza kutuchukua kutoka katikati ya ulinzi wote huo. Anatupa akili tuzitumie kujilinda, lakini anabaki na uwezo wa mwisho juu ya maisha yetu.
Hatuwezi kuacha kutumia akili eti kwa sababu yeye yupo. Na hatuwezi kutegemea akili tu eti kwa sababu akili katupa yeye. Imani na akili vyote ni mali ya Mungu, yeye katukabidhi tuvitumie.
Hatuwezi kuacha kuvaa Mask/Barakoa eti Mungu yupo, kwani huko VATICAN na MECCA dini zilipoanzia Mungu hayupo, yupo Tanzania pekee? UCHUMI vs MAISHA YA WATU! [MSISITIZO NI WANGU]
TUSIHUKUMIANE na TUSILAUMIANE.
Kwa hii inaitwa "awamu ya 5"Ukichagua ukweli utaonekana msaliti na unatumika na mabeberu
Its not over until its over...[emoji769]