johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Pia, soma

- Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa
- Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa
- Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa