Na wale manabii na mitume wanaoshinda Lumumba kusubiri maelekezo! Wametelekeza makanisa yao wengine wamepewa ugombea kupitia CCM.
Hao ni wapiga kura wetu
Na wale manabii na mitume wanaoshinda Lumumba kusubiri maelekezo! Wametelekeza makanisa yao wengine wamepewa ugombea kupitia CCM.
wachumiatumbo aho hakuna cha askofu wala nini hapoNimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima nae ni Mwanasiasa au Kiongozi wa Dini?Naomba kufahamishwa maana nashindwa kumuelewa, Hivi Baba askofu Bagonza ni kiongozi wa kisiasa au ni kiongozi wa kidini?!
Hakuna dhambi kwa yeye kuwa mwanasiasa ila kuna hatari kubwa sana kwa yeye kutaka mambo yote siasa na kiongozi wa dini, maana sisi waumini wake tutagawanyika endapo tu ataingiza siasa ktk dini.
sijajua bado kama yeye ni mwanasiasa au kiongozi wa kiroho.
mimi nimeuliza kuhusu Baba Askofu Bagonza kwa sababu mimi ni muumini wake.Gwajima nae ni Mwanasiasa au Kiongozi wa Dini?
Kumbe Nchi sasa inaruhusu viongozi wa Dini kuhubiri Siasa! sikuwa nalifahamu hilo.Una ufinyu wa akili ndiyo sababu humuelewi. South Africa kuna Askofu Tutu huyu alijizolea umaarufu mkubwa sana kama Kiongozi wa dini ambaye alisimama kidete kupinga dhuluma na udhalimu wa makaburu.
Nani aliyekudanganya ili kupinga maovu ya kutisha Tanzania ni lazims uwe mwanasiasa? [emoji15][emoji15][emoji15] Tia akili kichwani. Hata Pope Francis anapinga maovu sehemu nyingi sana duniani.
Umasikini wako wa akili ndiyo umekuchanganya kama walivyochanganyikiwa maccm wotemimi nimeuliza kuhusu Baba Askofu Bagonza kwa sababu mimi ni muumini wake.
anatuchanganya ni bora achague moja kati ya siasa au kumtumikia Mungu.
aache kabisa kutuchanganya
Kumbe Nchi sasa inaruhusu viongozi wa Dini kuhubiri Siasa! sikuwa nalifahamu hilo.
kama ni hivyo sina tatizo, ila nimetoa angalizo kuwa kwa yetu ya Tanzania ambayo bado haija komaa kivile ni vyema viongozi wetu wa dini wakajiepusha kuhubiri siasa au kuchanganya siasa ktk kumtumikia Mungu.
leo hii Mashekhe nao wakiamua kuchukua mkondo huo wa kuhubiri siasa nchi yetu itavurugika.
nawashauri viongozi wetu wa kiroho wasituchanganye.
Baba Askofu Bangoza namshauri aamue jambo moja kati ya Siasa au Kumtumikia Mungu.
Askofu KKT jimbo la Karagwe mwanafalsafa nguli. Yeye huongea kwa falsafa zaidi pasipo kumdaka kisheria kama unaelewa kisheria. Yeye kukumbatiana na Lissu ni kama mwananchi wa kawaida.
Furaha aliyoionesha imetokana na yy kuamini zaidi kuwa Mungu yupo nasi daima tukimtumaini. Vipi kuhusu wale viongozi wa dini waliokusanywa Julius Nyerere convetion centres kwa posho za wiki nzima kusifu na kuimba mapambio ya JIWE. Mbona hujauliza hao
Wewe kiazi TEC wanahusika vipi na mambo ya KKKT?Tunaomba TEC wamkemee Baba Askofu Bagonza, maana anatuchanganya sisi waumini wake kwa kujihusisha kwake na mambo ya kisiasa.