Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Hakuna nafasi yoyote ya ccm Taifa inayogombewa, hakuna., Hata Polepole hawezi kukujibu swali hili wala Dr Bashiru, wote hao hakuna aliyegombeaBwashee
Anahudumu kkkt dayosisi ya karagwe
Kujihusisha na mabadiliko sio dhambi
Kukataa unyanyasaji wa Ccm ni moja ya kiapo kwenye kipaimara/ubatizo wa kkkt "namkataa shetani na kazi zake zote"
Mbona Gwajima ni askofu na kagombea?
Mbona Leo Polycadinal Pengo kaenda kumpa sapoti?
Huko sio kujihusisha na siasa?
Naomba unijibu swali kwenye Uzi moja nilikutagi
Juu ya sifa za kuchukua fomu uenyekiti wa Ccm taifa
Nafasi za kugombea ccm zinaishia ngazi ya mkoa na ujumbe wa Nec. Baasi