Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,724
- 2,855
Umeambiwa anatoa huduma ndogo ndogoAskfu gwajima unasemaje naye
Ova
Na sio taasisi kuu.
Umeambiwa anatoa huduma ndogo ndogoAskfu gwajima unasemaje naye
Ova
Anawakumbusha kuhusu haki tunajenga nyumba mojaNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
CCM Mpya wao hits huita viongozi wa kidini na kuwahutubia kila mara, lakini hawa viongozi wachache wa kidini wanaoamini katika Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu imekuwa nogwa wakikutana na upande mbadala usio wa CCM Mpya !
.................................................................................
22 September 2020
Karagwe, Tanzania
Askofu Bagonza ...uchaguzi huu wa 2020 ni uchaguzi wa Mitano kwanza v/s Mitano tena hivyo wananchi fanyeni uamuzi wa busara kwa kuchagua kiongozi asiyeona haya (aibu) kusema na kutenda HAKI
Nawewe umeuliza swali la kipuuzi ukiwa lumumba eeh! Alhad Musa sheikh mkuu wa mkoa wa dar kila siku yupo na wanaccm mbona uhoji chochote?Mbona makamanda hamueleweki wenzio hapo Ufipa wamenijibu yuko KKKT wewe hapo Machame unasema yuko Katoliki.
Toeni jawabu Tafadhali!
BagonzaNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Hutoa dua ya kawaida tu na sio Sera za chama cha CCM, Mambo ya Sera ni ya chama na majibu ya hoja za wapinzani sio sehemu ya watu wa dini.Wale mashekhe wakienda mikutano ya ccm hamuoni au?
Kwani wale wanaoendaga kwenye mikutano ya chama chetu wao ni vipi?roho za kishetani na husuda zinawasumbua sana, kunya anye kuku akinya bata kaharisha, unayeweza kumpangia cha kufanya ni mkeo tu tena nae anaweza asifanyafeHujajibu swali nadhani huna majawabu!
Yupo na CCM nje ya Dar au palpale Dar?Nawewe umeuliza swali la kipuuzi ukiwa lumumba eeh! Alhad Musa sheikh mkuu wa mkoa wa dar kila siku yupo na wanaccm mbona uhoji chochote?
Aliyejibu askofu bagonza ni Catholic bishop hajui mambo hayo, baba askofu bagonza ni kiongozi Wa kanisa la kiinjili la kiluteri (KKKT)dayosisi ya Karagwe, ktk eneo hilohilo kuna jimbo katoliki la Kayanga na askofu wake ni mhashamu Almachius Rweyongeza.Mbona makamanda hamueleweki wenzio hapo Ufipa wamenijibu yuko KKKT wewe hapo Machame unasema yuko Katoliki.
Toeni jawabu Tafadhali!
Uliwahi kuhoji huu ujinga kwa wale jamaa walioitisha vikao kumtukuza jiwe?Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Hutoa dua ya kawaida tu na sio Sera za chama cha CCM, Malabo ya Sera ni ya chama ma majibu ya hoja za wapinzani sio sehemu ya watu wa dini.
Pia hubaki eneo husika na sio na sio kuongozana na mgombea.
Sasa mwamakula na katimna ndo wanajua kuomba kila sehemu hakuna wengine huko?
Au wamebeba matunguli wanatembea nayo?
Mwisho wa siku mmoja wao atajifungua mtoto.
Bwasheee mnataka kumuita gaidi au uamsho!?Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Askofu Pengo hawatoshi?Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Mwamakula na Katimba walikuwepo huko kwa Bagonza?!Hutoa dua ya kawaida tu na sio Sera za chama cha CCM, Mambo ya Sera ni ya chama na majibu ya hoja za wapinzani sio sehemu ya watu wa dini.
Pia hubaki eneo husika na sio kuongozana na mgombea.
Sasa mwamakula na katimna ndo wanajua kuomba kila sehemu hakuna wengine huko?
Au wamebeba matunguli wanatembea nayo?
Mwisho wa siku mmoja wao atajifungua mtoto.
Na ww jibu aaskofu pengo wa kanisa katoliki anasali msikiti gani?, na shehe was Mkoa wa dar anasali kanisa gani maana hawa ni wana ccm na wamejiingiza kupotosha umma wa watanzania na wanashabikia siasaHujajibu swali nadhani huna majawabu!
BwasheeNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Ungeomba mwenye simu yake akupatie umpigie akupe jibu sahihiNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna binadamu amwtupinya Corona, huyu yupo kwenye Umungu mmoja pamoja na Baba.Askofu bangonza kaniacha hoi kweli.
Yaani anasema ni juu yetu kuchaguza kati ya yule aliyeponywa na Mungu au alituponya Corona ..... UJUMBE MZITO SANA!!