johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hujajibu swali nadhani huna majawabu!Elewa hivyo hivyo.
Askofu Gwajima unasemaje nayeHujajibu swali nadhani huna majawabu!
Bagonza ni wa kanisa Lutheran, na kwenye kila mkutano huwa tunakuwa na viongozi wa imani zote kwa ajili ya maombezi.Hujajibu swali nadhani huna majawabu!
Hapa namuulizia Bagonza....ni askofu wa Kanisa au wa Huduma?Askfu gwajima unasemaje naye
Ova
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
KKKT KARAGWE,Kanisa lenye ushawishi mkubwa ...una neno!?Na Mimi nikuulize Huyu anafanya Siasa za moja kwa moja wenigineni Wapi wanaofanya Siasa sii za moja kwa moja!Hujajibu swali nadhani huna majawabu!
Nimekuelewa bwashee..... Ngoja nipitie katiba ya KKKT!Askofu KKT jimbo la karagwe mwanafalsafa nguli. Yeye huongea kwa falsafa zaidi pasipo kumdaka kisheria km unaelewa kisheria. Yeye kukumbatiana na Lissu ni km mwananchi wa kawaida. Furaha aliyoionesha imetokana na yy kuamini zaidi kuwa Mungu yupo nasi daima tukimtumaini. Vipi kuhusu wale viongozi wa dini waliokusanywa Julius Nyerere convetion centres kwa posho za wiki nzima kusifu na kuimba mapambio ya JIWE. Mbona hujauliza hao
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Askofu Gwajima anajihusisha na nini kwa sasa? 🤣 🤣 🤣Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona makamanda hamueleweki wenzio hapo Ufipa wamenijibu yuko KKKT wewe hapo Machame unasema yuko Katoliki.Bagonza ni wa kanisa katoliki, na kwenye kila mkutano huwa tunakuwa na viongozi wa imani zote kwa ajili ya maombezi.
Una swali lingine Comrade?
Anahudumia kanisa la Dakta Choo.Hapa namuulizia Bagonza....ni askofu wa Kanisa au wa Huduma?