Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

Ahsante kwa ushuhuda wa picha bwashee!
 
Neno kuu sana; "Chagueni Mgombea asiyeona aibu kutamuka neno HAKI" By Askofu Bagonza
 

Hakika Baba Askofu Bagonza ana roho wa Mungu na ni mwanafalsafa mahiri. Ameongea kiuweledi mno. Mwenye akili hasubiri kuambiwa mara ya pili. Ni LISSU 2020.
 
Hahahaaa

CCM ndio hamumpendi,ila Gwajima yeye ni askofu pia tena na Ubunge kagombea!

Kati ya Bagonza na Gwajima nani anashiriki siasa moja kwa moja?

CCM bwana,you motherfvckers are in a chronic paranoia!

Sijui mpoje yaani
 
Itafute na clip yake uone alivyomchana Babako.

Mtanyooka.
 
Basi habari ya ajabu ni kuwa hujui nini maana ya Kanisa.

Basi endelea kufanya ulichotumwa na Polepole!
Bwashee kiimani Kanisa ni mwili wa Kristo na kimapokeo Kanisa ni dhehebu.

Ndio maana Mwakasege ni dhehebu la KKKT lakini ana Huduma ya Mana.
 
Kama ni wa RC basi amejiingiza kwenye matatizo na kanisa lake
 
Vipi yule shehe ubwabwa wa d'salaam? Nyani haoni kundule.
 
Pengo na Malasusa wapo makanisa gani?
 
Naona mnaanza dalili za kutengeneza mazingira ya kumbambikia kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…